Naionya China, isijaribu

Hapa ndio watu wajue sasa yupi ni super power na yupi ni supa glue
Hivi kweli mnatuona wajinga kiasi gani kutudanganya kiasi hiki? Au mi ndo mbumbumbu?
Nchi hupanga bajeti yake kws mwaka mmoja TU na sio miaka 5 ama zaidi.
Ingelikua Ni hivyo bajeti ya kijeshi ya Marekani ingelikuwa kubwa Sana zaidi ya trilioni1 kwa miaka 2 TU.
Hivyo basi bajeti hupangwa kws matumizi ya mwaka TU

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sababu anajua long game Urusi hataweza, Ukraine kwa sasa anapata mafunzo ya western military hardware, maana yake baada ya miezi 3 tokea sasa Ukraine atakuwa na F16
Siamini Kama F16 Ni kitisho kikubwa dhidi ya Urusi.
Kuna ndege inaitwA b52 stratofotress hii ilikua na jina kubwa kule Vietnam ikakutana na adui mwenye nguvu Sana haikutoboa . Zikadondoshwa Sana.
F16 Ni kitisho dhidi ya Less advanced militarily country Kama Iraq na Libya.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie eneo lililorudi shwa na Ukraine siku za karibuni hasa wiki hii

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Putin anajuta kwa alichokianzisha. Inafika kipindi anaogopa hata kusafiri kwa amani. Akitaka kwenda mahali anaenda kimagutu bila kutoa taarifa huku akiwatanguliza wana usalama wake kwanz mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi uliwahi kuona wapi kiongozi anatembea ugenini ovyoovyo bila wanausalama kutangulia kwanza?
Hivi uliwahi kuona wapi kiongozi was nchi asiyetoa taarifa wakati aenda ugenini?
Putin amekwenda Kazakhstan na Iran bila kificho.
Ziara ilitangazwa mapema kabisa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ungeshuhudia msafara wa ndege pamoja na magari Ta usalama yanayo sidikiza gari la Rais wa Merikani awapo safarini kuzuru mataifa megine wala usinge shangaa idadi ya body gaurds na magari yanayo mlinda Putin.
Mkuu nimemshangaa pia huyo bwana anataka kiongozi wa taifa kubwa kama Russia atembee na bodaboda

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwamba mrusi kashamwambia mchina asijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hyo Sasa hivi Russia analima na kuvuna ngano kwa amani Hilo alikoteka Ukraine bila kusahau anafyatua ma- nuclear weapons Kama mchwa hapo Ukraine [emoji3][emoji3][emoji3] dah once ignorant always ignorant!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukiweka ushabiki pembeni, lait urusi angejua kuwa hiki kinachoendelea ndicho anachoenda kukumbana nacho huko Ukraine,Wala hasingedhubutu kuingiza pua yake huko
 
Mimi kwa maoni yangu naona China kwa Sasa inamuhitaji Rais mwenye kaliba ya Chairman Mao Zedong ili kukamilisha mission ya Taiwan Unification.
Hivi mkuu unafikiri US na washirika wake wasingeweza kudeal naye? Mimi naamini kabisa, CIA jamaa wapo makini muda wote, na wangepata tu muarobaini wake.
 
Ya hata mimi kwa upande wangu nafikiri China ina nguvu zaidi ya India, japo hazipishani sana. India inaweza kuwa ya 4 au 5 kwa nguvu duniani, huku China ikishikilia nafasi ya 3 baada ya US na Russia.
 
Tukiweka ushabiki pembeni, lait urusi angejua kuwa hiki kinachoendelea ndicho anachoenda kukumbana nacho huko Ukraine,Wala hasingedhubutu kuingiza pua yake huko
Putin na majeneral wake wanajuta kuiingiza nchi yao katika gharama kubwa zisizoisha za vita, jumlisha na vikwazo vikubwa vya kiuchumi, kupoteza maelfu ya askari na silaha. Yani waliingizwa chaka kwa kujambishwa kidogo tu na marekan na wenyew bila kutafakar kwa kina wakajaa kwenye 18 USA na washirika wake wa NATO.
 
Sababu anajua long game Urusi hataweza, Ukraine kwa sasa anapata mafunzo ya western military hardware, maana yake baada ya miezi 3 tokea sasa Ukraine atakuwa na F16
Hapo sasa ndipo moto mwingine utakapoanza.
 
Hivi mkuu unafikiri US na washirika wake wasingeweza kudeal naye? Mimi naamini kabisa, CIA jamaa wapo makini muda wote, na wangepata tu muarobaini wake.
Wange deal nae vizuri tu na asingefurukuta. Jamaa wamejipanga kuidhibiti dunia muda mrefu sana. Si unaona huyo Mao zedong kazaliwa na kufa akiwaacha marekani na washirika wake bado wanaongoza duniani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwamba mrusi kashamwambia mchina asijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Hawa ni maswaiba wa kihistoria. Kwahiyo ni lazima Putin amwambie mwenzake maumivu anayopitia ili na yeye yasije kumkuta yanayomkuta.
 
Wange deal nae vizuri tu na asingefurukuta. Jamaa wamejipanga kuidhibiti dunia muda mrefu sana. Si unaona huyo Mao zedong kazaliwa na kufa akiwaacha marekani na washirika wake bado wanaongoza duniani.
Ungepasa kujua wakati wa Mao Zedong China ilikuwa ni tishio kwa kiasi gani kwa marekani kwa maeneo ya Asia ya mbali. Bila ya Mao Zedong Korea kaskazini isingekuwepo mpaka Sasa.
 
Ya wanaweza kuwa wamekuja kutengeneza pesa, lkn pia kuwa huru katika kufanya maamuzi ya maisha yao kwa njia ya uhuru. Kwa mfano hawa pichan wakija Afrika au wakienda ktk nchi yoyote nje ya China watakuwa na hamu ya kurudi tena nchini kwao?
Wengi huwa wanarudi nchi kwao baada ya kutengeneza fedha , wengine hubaki na kuendelea kutengeneza fedha . Ila haimainishi China PRC haipo huru Hilo hapana labda Kama unataka Uhuru wa manyani Kama magharibi China hauwezi kuupata Uhuru wa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…