Japan nakubali. Ila India big no
Kwa India umeongopa.Wahindi Wana silaha za nuclear wale ,pamoja na Pakistan , Mchina kamwe hawezi kwenda kwenye direct battle na India , kama nchi zote zenye nuclear kamwe haziwezi kwenda battle ya moja kwa moja Maana hiyo ni assured destruction Kwa kila mmoja
Ndugu Jeoh, kwani Uchina haijawahi kupigwa na Vietnam? Mbona alichezea kichapo kizito ambacho hawezi kukisahau?Kumbuka America ilivyochapwa na Vietcong wakakimbia Saigon miaka ya 70's, na mwaka jana 2021 wakafukuzwa Afghanistan na Taliban kwa aibu kubwa! Waamerika wanataka kuogopwa na watu kama were mleta uzi huu, ili waitawale DUNIA, na kusambaza sera za unyonyaji, ushoga, kuruhusu mihadarati n.k.
Uchumi wa US sio threat km kipindi kile .Marekan bado ataendelea kuwa super power kwa sababu ana nguvu kubwa mno za kijeshi, uchumi mkubwa na imara zaidi, ana uwezo wa kutengeneza maadui karibu na mipaka ya adui yake ili awatumie hao maadui ku deal na ww kijeshi na kisaikolojia kama tunavyoona alivyomtengeneza adui wa Russia (Ukraine) na adui wa China (Taiwan) nk.
BIG NO USITUDANGANYE HAPA.Mchina anamtegemea mmarekani zaidi ya mmarekani anavyomtegemea mchina. Ndo maana mara kwa mara mmarekani humuwekea vikwazo mchina na mchina huonekana kutaka wakae chini na mmarekani ili wayamalize.
Bro China usiichukulie poa hivyo.Mkuu, China hawezi kuingiza pua yake Town kivita, maana anajua kitakachomkuta kabla ya kujipanga vizuri.
Taiwan inabakwa mda wowote View attachment 2315111
Huawei imerudi sokoni na ni simu ya tatu Kwa ubora duniani baada ya Samsung na Iphone ikifuatiwa na Oppo na Xiaomi ambazo zote za Mchina.Mkuu kawaulize Huawei ambao waliwekewa vikwazo na Trump wako wapi sikuhizi?
Huawei imerudi sokoni na ni simu ya tatu Kwa ubora duniani baada ya Samsung na Iphone ikifuatiwa na Oppo na Xiaomi ambazo zote za Mchina.Mkuu kawaulize Huawei ambao waliwekewa vikwazo na Trump wako wapi sikuhizi?
Mkuu imerudi kivipi? Taja model yake iliyoirudisha sokoni na idadi ya mauzo yake kulinganisha na kipindi kabla ya kuwekewa vikwazo.Huawei imerudi sokoni na ni simu ya tatu Kwa ubora duniani baada ya Samsung na Iphone ikifuatiwa na Oppo na Xiaomi ambazo zote za Mchina.
Kumbuka pia makampuni mengi ya USA yanayotumia malighafi Toka China yaliumia mpk kumuomba Trump amalize mzozo wa Huawei na China.
Hata wangeiua Huawei Oppo na Xiaomi zingechukua nafasi ktk simu tano Bora duniani ya USA Moja tu (iphone) Moja ya Korea tatu nzima zilizobaki za China.
Bado hujaelewa km jamaa amejiandaa viliv
[emoji23][emoji23]Kuna watu wana mahaba Niue humu,wanajifariji kwamba urusi haiathiriki chochote kutokana na hii anayoiita special epereshen,hawajiulizi hata swali la kawaida tu kwamba marekani pamoja na nguvu zake zote alizonanazo, uchumi imara, silaha kibao, mbona hajawai kuingia vitani peke yake mpaka aombe kolabo ya washirika wake?? .., hakuna kitu kinafilisi uchumi kama vita!
Mkuu Hong Kong ni sehemu ya China kama ilivyo Zanzibar ndan ya Tanzania, na viongozi wa jimbo hilo la Hong Kong wanaongozwa na wa serikali kuu ya China.China sio wajinga km walivyo Russia.
Wale jamaa ni watu wanaokupiga kijanja.
We rudi tu Hongkong,walichofanyiwa Hongkong walikatiwa vitu muhimu vya kuwaendesha kiuchumi vikahamishiwa Macau na kukitwa Shanghai.
Kilichotokea shirika la ndege laenda kihasara, unemployment rate imeongezeka n.k n.k
Mpaka hiyo imefanya Hongkong wakuu wapingane na wale wanaotaka Hong Kong ijitenge.
Na hapo Taiwan China anafanya psychological war.
Sidhani kama anataka vita ya Moja Kwa Moja maana China anajua Taiwan haitapigana pekeake.
Pia anajua akijiingiza ktk vita uchumi wake utazorota na kufanya gap kat yake na USA kuongezeka.
kaka uko ulimwengu gani? Huawei ndio simu ya kwanza kutoka na 5G,je hilo hulijui?Mkuu imerudi kivipi? Taja model yake iliyoirudisha sokoni na idadi ya mauzo yake kulinganisha na kipindi kabla ya kuwekewa vikwazo.
Hao Oppo na Xiomi ni wa kawaida na hawamuambii kitu US. Hapo katika simu bora ni Iphone na Samsung pekee.
hujakosea kaka ila nachojaribu kusema ni kwamba China anapigana vita za kisaikolojia kuliko za kimoto.Mkuu Hong Kong ni sehemu ya China kama ilivyo Zanzibar ndan ya Tanzania, na viongozi wa jimbo hilo la Hong Kong wanaongozwa na wa serikali kuu ya China.
Lakini Taiwan ni nchi huru inayojitawala yenyewe, kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo kama ulivyosema, China haiwezi kuingia mzima mzima maana hasara itakayopata ni kubwa kuliko faida.
Mkuu kwanza acha porojo nyingi usijisumbue kunilisha bla bla leta data. Hiyo Huawei yako tangu ile ban hata top three haipo. Hao wengine ni kwamba wanaliwa timing tu wasivimbe kichwa hiyo ndio maana ya Super power sasa.kaka uko ulimwengu gani? Huawei ndio simu ya kwanza kutoka na 5G,je hilo hulijui?
pia huawei ni simu ya tatu kwa mauzo duniani je hilo ni jambo dogo?
pia bro hujawai kufanya biashara nini?
mwenzako ana maandazi ya kuoka,chapati na sambusa na vyote anauza sambamba na kukimbizana ww je nan yuko vzuri kibiashara?
tafuta oppo zitafute pia xiaomi kesha uzitumie kesha jitafakari je ulikua unaongea sahihi?
mwisho huawei kabla ya kuekewa vikwazo kutumia google iliizidi mauzo iphone ni mwanzo wa 2018 km sikosei.
Point kuu hapa ni kwamba China kibiashara ni imara ndugu embu elewa nn najaribu kumaanisha.
mathalan shule ya kibasila inatoa manafunzi wa kwanza kitaifa,jangwani inatoa mwanafunzi wapili litaifa na temeke inatoa mwanafunzi wa tatu mpk watano wapi watakua na academic performance kubwa?
Duh watu mna taarifa za kushiba, salute mwamba.Mkuu kwanza acha porojo nyingi usijisumbue kunilisha bla bla leta data. Hiyo Huawei yako tangu ile ban hata top three haipo. Hao wengine ni kwamba wanaliwa timing tu wasivimbe kichwa hiyo ndio maana ya Super power sasa.View attachment 2320576
Marekani ukiachilia mbali nguvu za kijeshi pamoja na uchumi mkubwa, pia imefanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika zile nchi muhimu zenye kushikilia uchumi wa dunia.hujakosea kaka ila nachojaribu kusema ni kwamba China anapigana vita za kisaikolojia kuliko za kimoto.
porojo nakulisha mm au unajilisha mwenyewe?Mkuu kwanza acha porojo nyingi usijisumbue kunilisha bla bla leta data. Hiyo Huawei yako tangu ile ban hata top three haipo. Hao wengine ni kwamba wanaliwa timing tu wasivimbe kichwa hiyo ndio maana ya Super power sasa.View attachment 2320576
mwaka 2018 samsung ilikua na 293.7 millions unit sales,iphone 212.1 millions unit of sale na huawei 206millions unit of sale.Hiyo report uliotoa iko sahihi hujakosea,ila hapo tayari inathibitisha China kibiashara yuko vizuri kubali tu bro.oppo,xizomi,vivo ni zote chinese brand na zipo ktk top smartphones.porojo nakulisha mm au unajilisha mwenyewe?
katafute data za 2018 mwanzoni na 2021 huawei ni simu yas ngapi.
kafuatilie huawei model za P ambazo za kwanza kutoka na 5G.