Naionya China, isijaribu

Ungekuwa wewe ungeweza mkuu? Unadhani wote wale waliomzunguka Rais na kumwambia awe mpole ktk hili unafikiri wamependa kuwa uoga? Kuna muda busara na upole ni silaha kubwa kuliko bunduki.

Sakata la Ukraine ni taswira nzuri kwa China juu ya kuingia Taiwan. Taiwan anaweza akamshusha China kiuchumi akarudi nyuma zaidi endapo akavamiwa. Hili wameliona vyema serikali ya China.
 
Snake island ilikombolewa na Ukraine et, pumba kabisa.
 
Tena mobilization zenyew zimefanyika baada ya Pelosi kutoka tayari ndani ya Taiwan. Watu ambao wanaweza kufanya kile wanachomaanisha na hata marekani inajua kama haiwezi kuwafanyia mzaha kama huu ni Iran na pengine North Korea.
Hao wawili hawana impact kwenye soko la dunia. So, simply hawana cha kupoteza wakikorofishana na nchi nyingine.
 
Snake island ilikombolewa na Ukraine et, pumba kabisa.
Wewe uliitegemewa urusi wakubali kwamba wamefurushwa huko snake island???
Ni lini urusi ilikubali kuwa imeshindwa ??

Waliposhindwa kuiteka Kyiv baada ya kupewa kipigo kikali,walikimbilia Huko Donbass huku wakidai kuwa wamejiondoa Kyiv baada ya makubaliano maalum [emoji848]

Hata ikitokea wakafurushwa huko Donbass watakwambia wamejiondoa baada ya kukamilisha operation maalum ya kijeshi, Russia hajawahi kukosa sababu yule
 
Ungepasa kujua wakati wa Mao Zedong China ilikuwa ni tishio kwa kiasi gani kwa marekani kwa maeneo ya Asia ya mbali. Bila ya Mao Zedong Korea kaskazini isingekuwepo mpaka Sasa.
Mkuu nakubaliana na ww kwa namna fulani, lkn pia ujue kwamb Marekani nayo imekuwa na uzoefu wa miaka mingi wa ku deal na watu wa aina hiyo. Tuliona kilichotokea kwa akina Fidel Castor, Sadam Hussein nk.

Kifupi USA na washirika wake walijiandaa muda mrefu kukabiliana na nchi au viongozi wenye mitazamo tofauti na yao. Na mwisho huwa mbaya kwa hizo nchi afu viongozi wao. Korea Kaskazin leo hii milo mitatu kwa siku inaliwa na maofisa wa Ikulu tu peke yake, huku wananchi wa kawaida wakishindia mlo mmoja kwa siku, Iraq tuliona walivyo deal na Sadam baada ya kumlia taiming muda fulan, Cuba hadi ilifika kipindi wenyew wakaomba poo ili angalau waweze kuwaondolea robo ya vikwazo ili wapate pesa za kuwalipa watumishi wa serikali baada ya serikali yao kufilisika.

So hawa watu wakiamua lao, kweli unaweza ku savaivu miezi au miaka kadhaa kama vile Iran, but one day utajikuta umeingia kwenye 18 zao tu. CIA huwa hawalali kwa sababu ya mission za namna hii.
 
Shida iliyopo US wanategemea bidhaa za china, kuanzia chupi hadi mitambo,, sababu viwanda vilihamia china kukwepa gharama za uzalishaji marekani, [emoji16][emoji16]
Yani hadi sasa US alichobakiwa nacho kijeuri ni noti za hela tu. Ila ana shortage ya resources na bidhaa zitaenda kuwa adimu hasa anazozalisha china.
 
Sasa hao watu wengi ikawaje wakashindwa jua Pelosi anaenda Taiwan hadi waliposikia kwenye vyombo vya habari, ndo wakaanza mobilization ya vifaa?
Mzee baba ameshasema operation lazima ifanikiwe kwa namna yeyote ile hata kama itaendelea hadi kiama😂😂😂
 
Hahahaha halafu kuna Kenge wanasema urusi kala hasara 😂😂😂
 
Kabla hujafikia kwa vijana hao hio safu ya viongozi na mifumo ambayo inaakisi unachofikiria je wapo?
 
Kabla hujafikia kwa vijana hao hio safu ya viongozi na mifumo ambayo inaakisi unachofikiria je wapo?
Ni kweli Kama taifa tuna matatizo chungu mzima kuhusu mfumo wa kiutawala na kisiasa . Jambo ambalo ni Kikwazo kwa zaidi ya 60% wa upigaji hatua wetu kwenye safu ya maendeleo. Yatupasa kwanza kabla ya yote tubadili mfumo mzima wa kiutawala na kiuongozi katika taifa letu na tuweke mazingira Safi na yaliyobora kwenye tawala na siasa za nchi ili tuweze kuvuna mavuno yaliyo bora ya vijana waliomo nchini . Kwa kuwa utawala bora na siasa safi zitashiriki kwa kiwango kikubwa katika upandaji wa mbengu bora za vijana shupavu na waliobora na mazao hayo ya vijana yatalilisha taifa letu maendeleo makubwa sana.
 
India nao wana mtei anaitwa Amitah Bachan au Dharmenda mzee wa kishipa, unafikiri hao wakiungana hawawezi kumdhibiti tai chii na genge lake 🤣🤣🤣🤣
Hahahah Amita Batchan na San Deo wazee wa ngumi za "Dushwaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…