wakati nchi zinashindana kuvutia mitaji ya wawekezaji nyie mko mna wa harass! unadhani serikali naweza kufanya yote???? yale yale ya Nyerere yanarudi, tuanze kupanga foleni hadi za sabuni na kuvaa ma kaniki na matairi ya magari!....
.....wameyafuga "majoka" kwa miaka mingi wacha yawatafune
Jifurahishe, hata kama Zimbabwe ikiganda leo kwa kila kitu kwa mika kumi ijayo, ni ndoto kwa Tanzania kuifikia Zimbabwe. Heka heka iliopitia, vikwazo vikubwa na kutengwa na mataifa kama ingelikuwa Tanzania ingerudi zama za Nyerere wa kuogea sabuni ya mchi na chapa ya mbuni. Wakati ule watanzania wote( ispokuwa Zanzibar) walikuwa wananukia harufu moja tu.Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon
i. Private sekta idorora kama ilivyo zimbabwe.
ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe
iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana! leo kuna sehemu mfuko wa sement hadi elfu 20 sukar hadi elf 4000 - 5000
Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
kuhusu sukari nadhani unadanganya mchana kweupe kwani imesababishwa na wafanyabiashara walioficha sukari,Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon
i. Private sekta idorora kama ilivyo zimbabwe.
ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe
iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana! leo kuna sehemu mfuko wa sement hadi elfu 20 sukar hadi elf 4000 - 5000
Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
Hii ni taka taka kabisa....Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon
i. Private sekta idorora kama ilivyo zimbabwe.
ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe
iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana! leo kuna sehemu mfuko wa sement hadi elfu 20 sukar hadi elf 4000 - 5000
Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
UNA MAANA GANI HAPO KWENYE redJifurahishe, hata kama Zimbabwe ikiganda leo kwa kila kitu kwa mika kumi ijayo, ni ndoto kwa Tanzania kuifikia Zimbabwe. Heka heka iliopitia, vikwazo vikubwa na kutengwa na mataifa kama ingelikuwa Tanzania ingerudi zama za Nyerere wa kuogea sabuni ya mchi na chapa ya mbuni. Wakati ule watanzania wote( ispokuwa Zanzibar) walikuwa wananukia harufu moja tu.
First of all huwezi kuwa Havard product,second hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi(soma kitabu cha rich dad poor dad) au angalia movie ya wolves of wallstreet. Third nchi yoyote inahitaji wawekezaji,hakuna muwekezaji anaependa kuinvest hela yake kwenye nchi ya rais ambae ni unpredictable,rais ambae anaamini katika sifa za ki-robinhood za kurob from rich and giving free to the poor.Tanzania inaelekea kwenye economic doom!Umetumia vigezo gani kuandika takataka hiii. Wafanyabiashara makini watabaki na kuongezeka. Wale wapiga dili na wakwepa kodi wataondoka na hawana faida kiuchumi pia.
we mwoga wacha kutuambuliza woga wako. Lazima tusakrifaisi kama vita vya Idd Amini.Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon
i. Private sekta idorora kama ilivyo zimbabwe.
ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe
iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana! leo kuna sehemu mfuko wa sement hadi elfu 20 sukar hadi elf 4000 - 5000
Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
Pole mkuuUmeandika jambo zito sana , tangu mwaka jana kiwanda changu kimepata shida kidogo hasa baada ya kushuka kwa thamani ya madafu , hata hivyo mimi na viongozi wenzangu bado hatujafikia mahali pa kuchukua maamuzi magumu .