Naiogopa miaka yangu 40

Naiogopa miaka yangu 40

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,362
Reaction score
4,101
Ni kwamba miaka 11 iliyopita nilimtaliki mke wangu, kabla ya kukubali kuwa nimemtaliki, nilienda kumuomba turejeane. Sasa alikataa na kuniambia ananiona bado nina ujana na utoto mwingi hivyo ataniacha mpaka angalau nifike 40 ndio ataangalia kama anaweza kukubali.

Ni kwamba miaka hii 11 nina watoto wengine 3, na nina mtu naishi nae bila ndoa (sogea tukae).

Sasa hivi karibuni mawasiliano yamezidi baina yetu.

Na mwezi ujao ninatimiza miaka 40, naona kama aliloliongea linaelekea kutimia ila akili yangu haipo tayari kumrejea sababu ya comand zake na kususa na kununa.

Kwa sasa nipo na mtu akinuna ujue umemnunisha kweli sio tabia.

Ninaogopa miaka yangu 40 hii.
 
20230727_190916~2.jpg
 
Ukiachana na mtu delete picha, futa namba na ondoa kumbukumbu zote anza upya utafanikiwa sana, la sivyo utagaribu mahusiano yako mapya kwa kupasha kiporo kilichochacha
 
Back
Top Bottom