Naiogopa miaka yangu 40

Naiogopa miaka yangu 40

Usiwe na shaka mkuu, kama uliweza kumuacha na ukamtaliki 11 years back, basi kila kitu kitakua sawa na kikubwa unayo amani tele kwa huyo sogea tukae.
Ingekua mimi ndio wewe ningemkatia behewa mazima huyo mtalaka ili nisijichanganye tena, na kwamtazamo wangu huyo mwanamke ni jeuri sana kuwanae makini asije akakusumbua badae
 
uko kwenye balee ya pili sasa...safari bado ni ndefu kumaliza balee ya tatu na kuatayari kuoa mkuu
 
Back
Top Bottom