naingia ndani

naingia ndani

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
hodi wana chit chat.....mi mgeni upande huu wa chit chat naombeni kuungana nanyi jamani.
Naombeni ukaribisho.

asante sana na natanguliza shukrani kwa ushirikiano ntakaopata.
 
teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika...
 
teh teh teh... unaingia ndani hata mlango haujafunguliwa? karibu jiandae kukaguliwa! mkaguzi mkuu punde si punde atafika...

We mwenyeji tu unashukuru hata kabla ya kukaribishwa?
 
asante YNNAH,ila unaonekana mzuri jamani sijui nilikuwa wapi kuingia huku zamani
 
mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe@Passion Lady
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom