Naingia ktk maisha ya ndoa

Hongera sana,pia jiandae kisaikrojia maana utashuhudia mengi ila jitahidi kuvumilia ili maisha yaendelee
 
Usisahau tu kuanzisha nyuzi ya kutujulisha uliyoyakuta huko upande wa pili wa maisha. Ila kwa baadae kama miaka miwili ikipita hivi au mitatu.

Muhimu sana mkuu,
 
Nakutakia mgegedo mwema Mkuu, hapo hamna kusotea papuchi kama huku mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…