Naileta kwenu: hosts file kwa ajili ya ad-blocking!

Naileta kwenu: hosts file kwa ajili ya ad-blocking!

Ikitokea ukakutana na website yeyote iliyokuwa blocked kimakosa kupitia hiyo hosts file usisite kunijulisha, Mkuu!

Ahsante kwa mrejesho wako!
Kazi nzuri sana kaka nineitumia so far sijakumbana na tatizo lolote na matangazo kila nakofungua yako blocked.
Keep it up sana mkuu
 
Kazi nzuri sana kaka nineitumia so far sijakumbana na tatizo lolote na matangazo kila nakofungua yako blocked.
Keep it up sana mkuu
Ahsante, Mkuu!
Endelea kuitumia na ukikutana na tatizo nijulishe!
 
Kila website ina IP address yake.

Hosts file ni text file ambayo kazi yake ni ku-redirect websites fulani kwenda IP addresses fulani (kwa lugha nyepesi).
Mfano:-
104.25.213.115 jamiiforums.com

Hivyo,
Kwenye hosts file uki-redirect Jamiiforums.com kwenda 185.60.219.35 instead of IP yake i.e 104.25.213.115, basi kila uandikapo Jamiiforums.com kwenye browser na ku-bofya "ENTER" utajikuta unapelekwa Fesibuku!
Mfano:-
185.60.219.35 jamiiforums.com

Tukija kwenye ku-block matangazo/ads, kwenye hosts file huwa tuna-redirect list ya websites ambazo ndizo zenye kuleta hayo matangazo kwenda IP address "0.0.0.0".

0.0.0.0 itaifanya hiyo website ya matangazo isipatikane/isiji-load pindi ukiperuzi websites mbalimbali.

Umenisoma, Mkuu?
Mm nimekuelewa pia nna shida binafsi.
Nna blog ambayo nimeweka custom domain. Shida ni kwamba siwez access iyo site mpaka nianze na www.

Nifanye nn ???
 
Mm nimekuelewa pia nna shida binafsi.
Nna blog ambayo nimeweka custom domain. Shida ni kwamba siwez access iyo site mpaka nianze na www.

Nifanye nn ???
Si mjuzi sana wa hayo mambo, Mkuu!
Nakushauri fungua thread mpya katika jukwaa hili ili wenye kujua wakusaidie.
 
Mkuu seems unajua kwa hayo maelezo yako.
Si mjuzi sana, Mkuu!
Pia, tukianza kujadiliana kuhusu mambo mengine zaidi ya ad-blocking kwenye hii thread tutakuwa tunapoteza lengo.

Ndio maana nikakushauri ufungue thread mpya ktk hili jukwaa.
 
Si mjuzi sana, Mkuu!
Pia, tukianza kujadiliana kuhusu mambo mengine zaidi ya ad-blocking kwenye hii thread tutakuwa tunapoteza lengo.

Ndio maana nikakushauri ufungue thread mpya ktk hili jukwaa.
Sawa
 
wakuu nimedownload adguard lakini kuna baadhi ya app bado zinaleta matangazo mfano muungwana blog,live nettv na mobdro,sasa natakiwa nifanye nini!,naomba msaada.
 
wakuu nimedownload adguard lakini kuna baadhi ya app bado zinaleta matangazo mfano muungwana blog,live nettv na mobdro,sasa natakiwa nifanye nini!,naomba msaada.
Jaribu kutumia hosts file niliyoiweka kupitia DNS66
Screenshot_20171105-101655.jpg Screenshot_20171105-101802.jpg
 
nimepakua DNS66 lakini bado au kwasababu simu ninayotumia ni android marshmallow!
 
nimepakua DNS66 lakini bado au kwasababu simu ninayotumia ni android marshmallow!
Nitumie screenshot ya kwenye tab ya "HOSTS" ya hiyo DNS66. Rejea picha niliyoweka hapo juu!
 
mkuu screenshot hio
Hapo bado hujaweka kama nilivyofanya mimi kwenye screenshot yangu hapo juu.

Sasa, futa hizo default hosts files zote kuanzia "AdAway" hadi ya mwisho.

Zibofye moja baada ya moja halafu kwa kila utakayoi-click, bonyeza icon/kipicha cha "Delete" ili kuifuta.

screenshot_20171106-090741-png.625328

Kisha nitumie tena screenshot (ya kwenye tab ya "HOSTS" tu) baada ya kuzifuta nikupe step inayofuata.
 
Back
Top Bottom