Naileta kwenu: hosts file kwa ajili ya ad-blocking!

tuwekee hiyo link mpya
Link ya hosts file haijabadilika, Mkuu.

Unachotakiwa kufanya ni kui-update mara kwa mara kupitia hiyo hiyo link i.e 1hosts.cf

Kwenye DNS66, ndio kile ki-button cha kwenye browser nilichoeka picha yake huko posts za nyuma.
Ukibofya hio button basi itaji-update automatically.

20171106_111310-png.625415
 
Aigoo mbona mimi mgeni kabisa maeneo haya
Mian-hae-yo. Sikulijua hilo.

Chingu,
Hujawahi kusumbuliwa na ads au matangqzo wakati ukitembelea mitandao mbalimbali kwenye internet?

Katika uzi huu nazungumzia jinsi ya kuyaondoa/block hayo matangazo kupitia ad-blocker niliyoitengeneza.

Cc: Damushin sunbae.
 
Mimi hata sijui bwana
 
Link ya hosts file haijabadilika, Mkuu.

Unachotakiwa kufanya ni kui-update mara kwa mara kupitia hiyo hiyo link i.e 1hosts.cf

Kwenye DNS66, ndio kile ki-button cha kwenye browser nilichoeka picha yake huko posts za nyuma.
Ukibofya hio button basi itaji-update automatically.

20171106_111310-png.625415
Mkuu haimaliz mb kweli?
 
Nice creation......Mkuu
nimependa kazi yako maana inaleta changamoto kwa upande wangu.Hii inafanya niweze fikiria zaidi.Kaz nzur nategemea kuona mazuri zaidi.

Best Of Luck.
 
Pamoja sana mkuu.10x for stopping by!
 
Back
Top Bottom