Hapo tayari hakuna hosts file yeyote itakayozuia matangazo hivyo itabidi tuiweka hosts file yetu.
Bofya alama ya kujumlisha (+). Itafungua sehemu ya kuiweka hiyo hosts kama picha inavyoonesha.
Weka kama nilivyoweka mimi ila hapo kwenye "Title" weka ID yako!
Kwenye Location (URL or hosts): weka http://1hosts.cf
Ukimaliza hapo bofya OK "alama ya tiki".
Kisha bonyeza alama ya juu ile ya ku-refresh ili kuipakua/update hiyo hosts file.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.