Safi sana mkuu yani haya sasa ndiyo mambo mazuri siyo kila day tutumie vya wahindi...Habari Wakuu?
Nimetengeneza hosts file kutoka vyanzo/sources mbalimbali na nitakuwa nai-update mara kwa mara!
Pakueni hiyo hosts file kupitia 1hosts.cf!
Hizi ni baadhi ya apps ambazo unaweza kuzitumia kufanikisha adblocking kupitia hiyo hosts file.
Android:- DNS66 / AdAway / NetGuard
Windows:-uBlock Origin
Kwenye Android, kama simu yako iko rooted unaweza kuitumia hiyo hosts file + Adguard kwa wakati mmoja!
Wana-tech nyote karibuni!
CC: Chief-Mkwawa, Damushin, elmagnifico
Ndiyo nataka ipakua ntakupa marejeshoShukrani kwa mrejesho wako, Mkuu!
Kila website ina IP address yake.Mkuu Nijuze Kidogo Kuhusu Hiyo Kitu
Ukimaliza kuipakua pitia hizo nakala, Mkuu!Nimepakua DNS66 Nitarudi kuleta mrejesho
Kama simu yako iko rooted ukitumia AdAway (kupitia hiyo hosts file) + Adguard inakuwa poa zaidi!
Advanced users, najiribuni hii coz ina-save RAM & CPU.