kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Last edited by a moderator:
Kweli nilikua na mpango wa kuokoka lakini poo kwanza!
Mkuu mshana jr hii hesabu iko sahihi sana. Ni nyie tu msiojua.
Unajua kuna hesabu zilizoitwa "traditional" math, na zile "modern" math (kama base2, base16, nk.).
Sasa hesabu hizi ni zile za zamaaaaaaaaaani sana. Katika hesabu hizi sehemu ya mamia unaweka maelfu na ile ya maelfu unaweka mamia.
Mfano:
2600 = elfu sita na mia mbili,
300 = elfu tatu,
3000 = mia tatu
n.k.
Wengi hapa inabidi mrudi shule, vilaza nyie.
Kwani hutaki tena kuokoka ???