Naileta kama nilivyoikuta mahali

Naileta kama nilivyoikuta mahali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1437813968085.jpg
 
Aloo ,ni bora kumkumbusha ,lakini ukiamua kumchunia ujue pia ww unaweza ukadondosha,ukanunua kitu na kujikuta umesahau chenchi
 
Hahaaa hiyo hesabu ni sheedah... ukipata baamedi wa hivyo ujue wiki ijayo unafunga baa yako
 
Mkuu mshana jr hii ipo sana na mimi imenikuta sana tu, lakini sehemu niponeapo huwa nakuwa mkweli, sizulumu

Hakuna kitu kibaya kama kumdhulumu fukara malipo yake huja mara mbili zaidi na hayakawii
 
Last edited by a moderator:
Aloo ,ni bora kumkumbusha ,lakini ukiamua kumchunia ujue pia ww unaweza ukadondosha,ukanunua kitu na kujikuta umesahau chenchi

Kuna watu hawajui hilo yeye hufikiri kapata lakini huja kulipiziwa kwa namna ya pekee kabisa na kwa maumivu makali zaidi
Dhuluma ni pepo la nuksi liepuke....likemee...likatae
 
Hahaaa hiyo hesabu ni sheedah... ukipata baamedi wa hivyo ujue wiki ijayo unafunga baa yako

Sometimes ni uchovu kutokana na kutumika sana asubuhi atatumika anapoishi mchana atatumika kazini usiku atatumika kitandani
 
Hesabu iko sawa amekosea kuandika namba tu. Ipindue uone
 
Kwa kweli sio ya kuacha km mambo yenyewe ndio kama hayo..
 
Hesabu iko sawa amekosea kuandika namba tu. Ipindue uone

Kachoka tu, sasa mwenzio kaamka saa kumi na moja alfajiri awahi job, nahapo wewe unaagiza tu hujui ishafika saa saba na nusu usiku. Mtoto wa watu mchana kalambalamba tu wala sio kula. Mshahara wenyewe kichefuchefu na tip mnaacha sh miambili. Ndo maana kaona kaandika sh 9200 kumbe sio.
 
Poor her!...wa hivyo nawaoneaga huruma sana, sometimes hata sio kuchoshwa basi tu vijihesabu hivi vimewakalia kushoto.
 
ha ha ha!
mi namwambia aongeze bia 4 take away namlipa naenda!
 
Kajichanganya, pa kuweka tisa akaweka mbili na pa mbili akaweka tisa!
 
Back
Top Bottom