Naibu waziri wa Ardhi, Angelina Mabulla upo wapi?

lackg

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
641
250
Mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, njoo uwatetee wananchi wako wanataka kuporwa ardhi yao na watu wa uwanja wa ndege.

Ni wapiga kura wako zaidi ya 3000 wa mitaa mitano ya kata ya Shibula.
 
daud magigo

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
981
500
Poleni sana wana SHIBULA mlichagua shati mkaacha mtu na chama cha kuwajali.Mlichagua DUDE mkaliamusha wana SHIBULA acheni mhagaike nalo DUDE lenu,pamoja na kuwa naibu waziri wa Ardhi hana tija na masuala ya ardhi.Poleni ILEMELA.
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,024
2,000
Mbunge wa jimbo la Ilemela na naibu waziri wa ardhi, njoo uwatetee wananchi wako wanataka kuporwa ardhi yao na watu wa uwanja wa ndege. Ni wapiga kura wako zaidi ya 3000 wa mitaa mitano ya kata ya Shibula.
Kata ya Shibula iko wapi? ni kata mpya hiyo?
 
Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,211
2,000
Angelina Mabula amepewa mlungula na hao matapeli wanaotaka kudhulumu hiyo ardhi kwa mgongo wa Airport, hao matapeli walimfuata Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa mwanza Ndugu Diallo ili awasapoti Diallo akawagomea, akasema hawezi kujihusisha wala kuunga mkono huo utapeli, ila huyu mama hao matapeli ndio walimchangia fedha za kampeni yake mwaka 2015 hivyo analipa fadhila.

Hilo eneo nalijua sana, hao matapeli wanataka kutapeli lile eneo la upande wa juu la milima na eneo dogo la tambarare kabla hujafika centre,
 
Kwakweli hilo eneo ni zuri sana, na wanachi wameliendeleza ila sapoti ya mbunge inahitajika ili kuwasaidia
 
chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,559
2,000
Angelina Mabula amepewa mlungula na hao matapeli wanaotaka kudhulumu hiyo ardhi kwa mgongo wa Airport, hao matapeli walimfuata Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa mwanza Ndugu Diallo ili awasapoti Diallo akawagomea, akasema hawezi kujihusisha wala kuunga mkono huo utapeli, ila huyu mama hao matapeli ndio walimchangia fedha za kampeni yake mwaka 2015 hivyo analipa fadhila.

Hilo eneo nalijua sana, hao matapeli wanataka kutapeli lile eneo la upande wa juu la milima na eneo dogo la tambarare kabla hujafika centre,
We we unapinga kila kitu,uko tayari kutoa ushahidi mahakamani? Jela iko na wewe safari hii,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom