Kata ya Shibula iko wapi? ni kata mpya hiyo?Mbunge wa jimbo la Ilemela na naibu waziri wa ardhi, njoo uwatetee wananchi wako wanataka kuporwa ardhi yao na watu wa uwanja wa ndege. Ni wapiga kura wako zaidi ya 3000 wa mitaa mitano ya kata ya Shibula.
vajameni ID yako aiseee!!! chinembeHameni hapo,hayo mandege yakiwaangukia?
Halafu unajua anayenunua hizo ni bosi wake sasa zitatua wapi?
Ndege oyeee!!
sijasema ina tatizo lakini!!!!Ina tatizo gani?
Kwakweli hilo eneo ni zuri sana, na wanachi wameliendeleza ila sapoti ya mbunge inahitajika ili kuwasaidiaAngelina Mabula amepewa mlungula na hao matapeli wanaotaka kudhulumu hiyo ardhi kwa mgongo wa Airport, hao matapeli walimfuata Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa mwanza Ndugu Diallo ili awasapoti Diallo akawagomea, akasema hawezi kujihusisha wala kuunga mkono huo utapeli, ila huyu mama hao matapeli ndio walimchangia fedha za kampeni yake mwaka 2015 hivyo analipa fadhila.
Hilo eneo nalijua sana, hao matapeli wanataka kutapeli lile eneo la upande wa juu la milima na eneo dogo la tambarare kabla hujafika centre,
Hii ilimegwa kutoka Ilemela au huko Bugogwa - Igombe?Ndiyo ni miongoni mwa kata mpya zilizopo kwenye jimbo lake
We we unapinga kila kitu,uko tayari kutoa ushahidi mahakamani? Jela iko na wewe safari hii,Angelina Mabula amepewa mlungula na hao matapeli wanaotaka kudhulumu hiyo ardhi kwa mgongo wa Airport, hao matapeli walimfuata Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa mwanza Ndugu Diallo ili awasapoti Diallo akawagomea, akasema hawezi kujihusisha wala kuunga mkono huo utapeli, ila huyu mama hao matapeli ndio walimchangia fedha za kampeni yake mwaka 2015 hivyo analipa fadhila.
Hilo eneo nalijua sana, hao matapeli wanataka kutapeli lile eneo la upande wa juu la milima na eneo dogo la tambarare kabla hujafika centre,