Naibu waziri wa Ardhi, Angelina Mabulla upo wapi?

Angelina Mabula amepewa mlungula na hao matapeli wanaotaka kudhulumu hiyo ardhi kwa mgongo wa Airport, hao matapeli walimfuata Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa mwanza Ndugu Diallo ili awasapoti Diallo akawagomea, akasema hawezi kujihusisha wala kuunga mkono huo utapeli, ila huyu mama hao matapeli ndio walimchangia fedha za kampeni yake mwaka 2015 hivyo analipa fadhila.

Hilo eneo nalijua sana, hao matapeli wanataka kutapeli lile eneo la upande wa juu la milima na eneo dogo la tambarare kabla hujafika centre,
Fanya mazoezi ya kutumia ndoo
 
Back
Top Bottom