Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,815
- 4,563
Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Khamis ametaka watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana ili kupunguza matukio hayo. Amesema hayo mkoani Kigoma baada kupewa ripoti kuwa wilayani Kigoma kati ya kesi 128 ni sita pekee ambazo wahusika wamehukumiwa vifungo.
Swahili Times