Naibu Waziri: Nimewahi kuwaombea radhi baadhi ya wabunge waliokamatwa na madini viwanja vya ndege

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
wakati anajibu hoja za wabunge amesema kwamba kuna baadhi ya wabunge walikamatwa na madini viwanja vya denge akawaombea waachiwe,yaleyale ya mzee wa kaya wana JF nyinyi mnalionaje hili
 
Hana lolote huyo. Anatafuta namna ya kupaka watu matope. hakawii kusema ni wabunge wa CHADEMA. Na kama ni kweli amewaombea wabunge walio kamatwa, anahitajika awajibike kwa kusaidia kutorosha nyara za serikali. Ukizingatia amepewa dhamana ya kulinda maliasili za waTanzania.
 
Huyo ndo anatakiwa awe wa kwanza kufikishwa mahakamani kwa kuishiriki uharifu na pia anatakiwa ajiudhuru mara wahedi,
 
Hana lolote huyo. Anatafuta namna ya kupaka watu matope. hakawii kusema ni wabunge wa CHADEMA. Na kama ni kweli amewaombea wabunge walio kamatwa, anahitajika awajibike kwa kusaidia kutorosha nyara za serikali. Ukizingatia amepewa dhamana ya kulinda maliasili za waTanzania.

Mnaweza kudhani ni falase kumbe ni mkakati wa kuset agenda kututoa kwenye gas ya Mtwara
 
Eti hawa ndio tuliowapa dhamana ya kulinda rasilimali za nchi. ww kiongozi unamkamata mwizi unamwachia unarudi tena kutamba kwa walio kupa dhamana hiyo. shame
 
Hana lolote huyo. Anatafuta namna ya kupaka watu matope. hakawii kusema ni wabunge wa CHADEMA. Na kama ni kweli amewaombea wabunge walio kamatwa, anahitajika awajibike kwa kusaidia kutorosha nyara za serikali. Ukizingatia amepewa dhamana ya kulinda maliasili za waTanzania.

Nikweli kabisa kama imefika mahali kila mtu anaida kivyake basi tumekwisha. Inaonyesha aliomba waachiwe kwasa7bu yeye alikua na mzigo mkubwa zaidi.
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
CCM imekuwa ni chombo cha wizi na ufisadi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unajua dhambi inakawaida ya kutokujificha, utaifunika sana ila kuna siku itakuporochoka, unakuja kuisema hadharani, badae ndo unastuka sasa nimefanyaje tena! angalia hapa jana mmeweka uzi unaosema apelekwe mkuu wa mkoa muislam mtwara, anachana na allah wewe, yani huo ni mwanzo tu mutasikia vituko vingi sana mpaka mtashika midomo.
 
wakati anajibu hoja za wabunge amesema kwamba kuna baadhi ya wabunge walikamatwa na madini viwanja vya denge akawaombea waachiwe,yaleyale ya mzee wa kaya wana JF nyinyi mnalionaje hili
Wizara hii ni ya ajabu ahiishi vituko. Lakini. Kinachonidhangaza zaidi ni Bunge kukubali kauli hizi. Tunakumbuka mwaka jana kwenye kipindi cha bajeti wabunge walituumiwa kupokea rushwa kwa nguvu na Wizara hii hii mpaka Kamati husika ikavunjwa. Sasa huu wimbo wa wabunge kunjihusisha na wizi na wanaombewa msamaha!
 
Mkimbana sana atakana kuwa hakusema hivyo. Kama mkuu wa kaya alivyowakana Mererani kuwa aliwaahidi leseni ya Tanzanite One ikiisha wachimbaji wazalendo watapewa maeneo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa maana hiyo mlalahoi akimpigia simu kuwa nimekamatwa kwa kutaka kutoa madini airport atamsaidia aachiwe?
 
wakati anajibu hoja za wabunge amesema kwamba kuna baadhi ya wabunge walikamatwa na madini viwanja vya denge akawaombea waachiwe,yaleyale ya mzee wa kaya wana JF nyinyi mnalionaje hili

Waziri gani huyo?! Muhongo au yule ambae amekimbia jimboni kwake?

What a Faken government this is?
 
Hana lolote huyo. Anatafuta namna ya kupaka watu matope. hakawii kusema ni wabunge wa CHADEMA. Na kama ni kweli amewaombea wabunge walio kamatwa, anahitajika awajibike kwa kusaidia kutorosha nyara za serikali. Ukizingatia amepewa dhamana ya kulinda maliasili za waTanzania.

Amewaombea wapi? Haijalishi ni nani, lakini huko ambako wezi wanakoweza kuombewa msamaha ni wapi?
Tupajue basi, tumjue na mtoa msamaha huyo.
 
Back
Top Bottom