Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
ELIAS MSUYA wa gazeti la mwananchi ndiye mwandishi wa habari hiyo na amelipwa fedha na watu kadhaa kumchafua mbunge wetu tutapambana naye
Mimi ntakuwa tayari kujitokeza kama shahidi kuthibitisha utapeli wa Waziri Mulugo.ELIAS MSUYA wa gazeti la mwananchi ndiye mwandishi wa habari hiyo na amelipwa fedha na watu kadhaa kumchafua mbunge wetu tutapambana naye
Suala la kughushi (kutumia cheti cha Mulungu kuajiriwa) ni suala linalompotezea uhalali wa kuwa kwenye nafasi yake.
Lakini ameonekana kwa dhahiri kuwa ni kweli hakidhi kiwango cha kuwa waziri, kwa kweli hata uafisa elimu wa wilaya hafai.
Suala la Naibu wa Wizara ya Elimu ni suala linalogusa maslahi ya Watanzania. Mulugo jiuzulu mwenyewe utabaki na heshima kidogo.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uruma-pumzika-tuachie-wizara-yetu-jamani.html
https://www.jamiiforums.com/habari-...375515-nisaidien-hiv-wazir-ammim-ni-nani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/377389-waziri-mulugo-tupe-ukweli-wa-tuhuma-hizo.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...i-aligushi-jina-la-mtu-no-strict-vetting.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ziri-mulugo-amemaliza-utata-wa-jina-lake.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/377465-waziri-mulugo-azidi-kuandamwa.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...elimu-wa-tanzania-anasubiri-nini-ofisini.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/393904-kikwete-mulugo-waudanganya-umma.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ri-wa-elimu-philip-mulugo-adanganya-tena.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-ya-elimu-na-mawaziri-vihiyo-tangu-hapo.html
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...eh-yaani-wana-wewe-hawakuachi-iii-ng%92o.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/410910-mulugo-apuuza-kelele-za-chadema.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ni-mzigo-kwa-serikali-jk-aliwachagua-vp.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...aanze-na-mawaziri-wake-sio-wauguzi-pekee.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...shwe-na-bunge-baada-ya-kufanyiwa-usahili.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...3-maswali-magumu-kwa-naibu-waziri-mulugo.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/423144-mwesiga-baregu-vs-mulugo.html
ELIAS MSUYA wa gazeti la mwananchi ndiye mwandishi wa habari hiyo na amelipwa fedha na watu kadhaa kumchafua mbunge wetu tutapambana naye
Hivi tume ya Pinda ya kuchunguza kwanini watoto wanafeli hawakuliona hili.JK rais dhaifu sana....mjinga kapewa mamlaka ya kusimamia elimu
heading inaonyesha wewe na mulugo hamna tofauti