Naibu Waziri apata ajali mbaya

Naibu Waziri apata ajali mbaya

Haya mashangingi ya v8 wanayonunua kwa kudhurumu watanzania itakuwa
sara zimefika kwa Mungu :A S 101:

dah!! hapo kuna ukweli fulani mkuu, ila tusisahau jukumu letu kama binadamu la kuombeana KHERI tunapopatwa na misiba au majanga. Ila hawa jamaa kweli wamezidi mno kujipalilia wao tu huku sie wengi tukikosa hata za msingi kama DAWA, MAJI et,. but, pole mheshimiwa. get well soon.
 
3.jpg


Naibu Waziri aliyepata ajali
 
MUNGU awape nguvu na wapone mapema na warudie kwenye hali yao ya kiafya!

MUNGU TUNAKULILIA TUEPUSHE NA AJALI HIZI ZA KILA LEO!
Sisi ni wakosaji MUNGU wangu lakini wewe ni mwingi wa REHEMA na utusamehe MUNGU wetu!
 
Ebwana hawa nimepishana nao MSAMVU Leo mida ya mchana. Du pole yake.
 
Pole sana Mh Abdallah na Dereva wako,ukute alikuwa anaepusha balaa kubwa zaidi kumuokoa Mh!pole sana ndio uadilifu katika kazi!
 
Wana JF kwenye mambo ya huzuni kama ajali na vifo tuweke itikadi za siasa pembeni,kwani ajali haina chama wala jinsia.Tuepuke lugha za kebehi kumbuka hata wewe inaweza kukutokea ukiwa umepanda boda boda,baiskeli hata daladala haijalishi.

Nafikiri Mods tu ndio wanaoweza kurekebisha hili kwa kuwaadhibu wanaofanya dhihaka kama inavyotekeaga pale wanapofariki viongozi wa CHADEMA.
 
MUNGU awape nguvu na wapone mapema na warudie kwenye hali yao ya kiafya!

MUNGU TUNAKULILIA TUEPUSHE NA AJALI HIZI ZA KILA LEO!
Sisi ni wakosaji MUNGU wangu lakini wewe ni mwingi wa REHEMA na utusamehe MUNGU wetu!

Yani mungu atuepushe na ajali? That will never happen, alisema hakika mavumbini tutarudi, yani hao amevumilia tu leo
 
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha).

Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp.

Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini


attachment.php


attachment.php


attachment.php

[Naomba madaktari waweke tools down kuonyesha uzalendo zaidi maana madai yao huyu naye aliyapuuza na kuwaona hayawani. Naomba aachwe asitibiwe maana wao walitaka kumuua Dr Ulimboka bila hatia nanyu huyu awe kafara yake.
 
Jamani Nyani Ngabu, mimi nimesema asante kwa ufafanuzi nikiwa na maana nakubaliana na maelezo yako. Unajua elimu haina mwisho, nimejifunza kitu hapo na ndio maana nimekushukuru.
Nasema tena, asante kwa kunifafanulia. Naishia hapa, nisije kuambiwa nimegeuza kijiwe uzi wa ajali ya Naibu Waziri.
I wish you well!

Yani jf ni burudaaaaaaaaani kwa kwenda mbele
 
Tunawatakia kupona haraka na kurejea katika ujenzi wa taifa letu,
 
Poleni sana Majeruhi . . .

Something interesting ni kuwa ukiangalia picha zote za majeruhi wawili from the surrounding and attentions unaweza kujua ni nani Dereva na ni nani Waziri japo wote hawaonekani sura kirahisi.

Why . . . . Just asking myself.
 
Heri wangeahamia Dodoma haya yote yasingewatapata, isitoshe, licha ya kupoteza uhai wanapoteza pesa nyingi ya mlipa kodi maskini. Pia barabara zetu na uendeshaji wetu vipaswa kuangaliwa upya. Maana haya madudu yanavyokimbizwa utadhani watu wanataka yapae.
 
nawapa pole, ila naamini 86% chanzo cha ajali itakuwa mwendo kasi . tatizo waheshimiwa wakiwa na haraka zao wanawa command madereva wamalize speed meter na haya ndio matokeo
 
Back
Top Bottom