Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Nina rafiki yangu ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya, anapiga chaki sekondari ya serikali lakini hajawahi hata kuulizwa na mamlaka za elim wilaya. Maisha yanasonga!
 
ingekuwa vizuri kama ungeweka majina ya wahusika wote ili kumaliza mzizi wa fitna , maana ukweli pekee ndiyo utakuweka huru , hii nchi ni yetu sote bhana , unao uhuru wa kuwa mwanachama wa chama ukipendacho .
 
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
..............
mwalimu umepotea.

We bibi nasikia ulikuaga mtu mzuri sana hapo kabla, sijui nani hata amekuharibu kwa kweli!!!
Nahisi atakua ni chama tu!!
 
Last edited by a moderator:
Nina rafiki yangu ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya, anapiga chaki sekondari ya serikali lakini hajawahi hata kuulizwa na mamlaka za elim wilaya. Maisha yanasonga!

Kitila Mkumbo anapiga chaki (au marker pen) pale DUCE, na alikua kiongozi wa CDM
 
Hawa ndiyo watumishi wetu badala ya kufundisha anawaza siasa na kuviziana mitaani na wahuni wenzake.
 
MM3?jina linautata linashabihiana na jina ndani ya waraka wa mabadiriko,binafsi nauita mkakati wa hivyo.
Nikirudi kwenye mada,nakupongeza kwa ujasiri,weledi na mtazamo wako kukitengeneza kizazi hiki.kwanza shule zunayofundisha naamini ni shule ya serikali ambazi nyingi ni za kata kwasasa na niseme tu ya kwamba tukiziita shule za serikali basi tuseme serikali ya wakulima na wafugaji siku hizi wafanyakazi(ukiachilia walimu na wafanyishwa kazi wengine)wanashule zao ambazo nyingi ni st.!
Naomba (hii iwe hoja yangu binafsi na ombi langu kwako MM3)waambie elimu kipindi cha Mwalimu Nyerere(siku hizi naepuka kumwita Mwalimu Nyerere kwa kifupi cha JK kwasababu binafsi)waeleze elimu ilikuwa bure si ya maneno sisi baba zao tulikula mikate na siagi tiketi yako ilitoa uhalali wa kurudishiwa pesa yote haya chini ya mgodi wa Mwadui leo je?tunaweza?
Kuhusu kutafutwa jipange,na nimevutwa na msimamo wako ''woga ni hoja dhaifu na ni dhambi'' nakumbuka wakati furani mtu mmoja jasiri wa nchi hii alisema "ukombozi wa pili wa nchi hii si rahisi,hakuna ajuae kama atafika 2015"maisha na kifo ni vitu sawa kwa mpigania uhuru yeyote hasa uhuru wa pili.
Ningepata fursa ya kuzungumza nawe ningesema maneno matatu;
Pambana,Pambana,
Pambana!
Zama zote nguvu ya umma itashinda.
Aleykum!
 
  • Thanks
Reactions: MM3
Utakua mwalimu wa Kifaru sec wewe ndo mnatabia za kuaribu watu sitakaa nisahau mlivyotushikisha mavi kwenye ndoo nyie
 
acha kumponza mwenzio akafukuzwa kazi na kuishi maisha ya kubahatisha..ya kitumwa na ya kuombaomba kama yako

Acha vitisho.Nimewahi kufanyiwa hujuma katika ajira kwa sababu za kisiasa.Kwa kuwa nina Taaluma yangu,sijawahi kuwa ombaomba.Naitumikia,najipatia kipato kutokana na taaluma yangu hii
 
afukuzwe kazi kwa kanuni zipi??? kama wangekuwa na huo uwezo si wangemfuza na si kumvizia kwa vimitego vya kitoto??? uwezo walionao labda ni kumuhamishia mazingira mabaya kama adhabu ingawa kwa sasa mbinu hiyo hawawezi kuitumia kutokana na kukosa pesa za uhamisho,(kumbuka mtumishi wa umma hawezi kuhamishwa bila kuwepo fungu la uhamisho na kulipwa)

we mchunga ng'ombe wa kirumba kanuni uzijulie wapi?
 
Kucheza mziki usio uelewa ni majanga, cheza tuuu kwa sasa. Ukija stuka umevuna mabua.
 
Mkuu huyu kijana nimemshauri abadilike, ajikite kwenye kazi yake laa sivyo aachane nayo aendelee na siasa. Sasa kama anaendelea kufundisha siasa huko mwanga tutamfuatilia tutamjua, tutamwajibisha kwa kutumia sheria za utumishi wa umma, ambayo ni kumuondoa kwenye secta ya utumishi wa umma. Sio mimi namtisha. Ni taratibu

we kama nani? mwajiri? afisa utumishi? waziri?,katibu mkuu? au mpambe wa ccm? we ualimu umekushinda ukakimbilia kutumwa na mwigulu, tuache walimu tufanye yetu bwana alaah.
 
Acha vitisho.Nimewahi kufanyiwa hujuma katika ajira kwa sababu za kisiasa.Kwa kuwa nina Taaluma yangu,sijawahi kuwa ombaomba.Naitumikia,najipatia kipato kutokana na taaluma yangu hii

ha ha ha taaluma kutumwa ovyo kwa maslahi ovyo ya kibinafsi?
kwa taaluma uloipata India hata ujivunie?
mi sina vitisho naongea facts unaviona ni vitisho kwakuwa unaishi kwenye duara la fitina kila SAA unahisi unawindwa
 
Kumbe ni mwanachama Wa ChaDeMa, haiwezeka ukaficha hisia zako ukiwa unafundisha!. Fundisha kwa weledi na sio kwa mapenzi na Chadema!, Wata kuKOLIMBA Sasa hivi wenyewe Shauri yako!
 
Kucheza mziki usio uelewa ni majanga, cheza tuuu kwa sasa. Ukija stuka umevuna mabua.

we muache watu wenyewe ni mithili ya mwewe wakikosa mzoga wanaruka ngoja apoteze kazi aishi maisha ya bahatinasibu
 
we kama nani? mwajiri? afisa utumishi? waziri?,katibu mkuu? au mpambe wa ccm? we ualimu umekushinda ukakimbilia kutumwa na mwigulu, tuache walimu tufanye yetu bwana alaah.

Wewe endelea kumponz mwenzako. Hivi huyu anaetumia MM3 jina la kishabiki la siasa za chdema hawezi akawa na adabu haata shulen
 
Back
Top Bottom