SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
Naona uzi huu wanajibizana misukule ya Lumumba tu.
Mkuu, huyu sidhani kama ana hofu bali anaanika ujinga wake humu. Yaani anakataa kama hatumiki na chadema huku akitaja jinsi anavyoshiriki mikutano ya chadema
Mkuu ushuri wangu ni huu, achana na siasa, jikite katika taaluma yako. Fundisha historia, achaa kuchanganya siasa. Kama unapenda siasa achana na chaki nenda kwenye majukwaa ya kisiasa utafika mbali ila ukichanganya utumishi wa umma na uchadema wako ni hatari.
Mkuu ni rahisi sana..define hiyo term "political instability, mpe mifano ya nchi zenye political instability, na hayo mabomu ya arusha kama una enough and vivid information to justfy ni political instability waeleze bila kuwa bias. Kinachonisikitisha wewe ni kada wa chadema unafundisha history kw muktadha huo huwezi kuwa objective. Wewe inaelekea hata unafundisha vijana kugoma hapo shuleni, sikuoni kama ni mtu ambae unaweza kutofautisha mahaba yako kwa chadema ukiwa darasani, na inaelekea mwanafunzi akikupinga unamuona msaliti na unampa sifuri kisa katika easy yake kaisifia serikali. Huffai kufanya kazi kwenye shule za umma nenda sombetini kafundishe harakati sio kutharibia shule na vijana wetu.
Pole sana mwalimu,usife moyo.
Waambie watoto historia ya nchi yetu,Muungano wetu,Azimio la arusha,rasilimali zetu zinavyofujwa na serikali ya maccm,mafisadi a.k.a serikali ya mizigo.
NB.Rejea harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi Soweto,Afrika Kusini
Napenda kukujulisha kuwa siyo wote wanaochangia humu ni kwaajili ya kukupa ushauri. Wengi watakuvuruga na kukuingiza katika mazingira ya kuonekana wewe ni kilaza. Siajabu hata yule mwalimu mwenzako aliyetaka akuingize mtegoni yupo humu na anakula 7000 yake daily. Chamsingi fata ushauri wa hao wachache wenye nia ya kukushauri. Na ikiwezekana uache hiyo kazi na kujikita kweye siasa, maana hata iweje huko kazini wameshakuchafulia file lako. Usitegemee utanufaika tena na hiyo kazi katika utawala huu.
Mkuu ushuri wangu ni huu, achana na siasa, jikite katika taaluma yako. Fundisha historia, achaa kuchanganya siasa. Kama unapenda siasa achana na chaki nenda kwenye majukwaa ya kisiasa utafika mbali ila ukichanganya utumishi wa umma na uchadema wako ni hatari.
Mkuu ushuri wangu ni huu, achana na siasa, jikite katika taaluma yako. Fundisha historia, achaa kuchanganya siasa. Kama unapenda siasa achana na chaki nenda kwenye majukwaa ya kisiasa utafika mbali ila ukichanganya utumishi wa umma na uchadema wako ni hatari.
Siwezi kuwa objective katika kufundisha. Nadhani ww sio mwalimu na pengine huwezi kuzifahamu changamoto za darasani. Wakati mwingine unaweza kuulizwa swali sio katika siasa tu bali hata katika maswala mengine ya kijamii. Katika hali ya namna hii unahitajika utulivu wa hali ya juu wa akili ili kuweza kujibu baadhi ya maswali. Mwanafunzi sio tu anakuuliza The causes of political instability in Africa lakini pia anahusisha matukio yanatoendelea nchini ya kisiasa. Sasa kama anakueleza kwanini swala fulani limetokea i.e. Tanzania wewe ukaanza kutoa mifano ya Iraq, sidhani kama umeonyesha kumuelekeza mwanafunzi. Chamsingi ni kutokukiuka misingi ya taaluma yangu. Kuhusu mimi kuwa kada hakuhusiani na kazi yangu ya ualimu kama nazingatia maadili ya kazi yangu. Katiba inaniruhusu kuwa mkereketwa wa chama chchote kile bila kuvuruga taratibu tulizojiwekea kwa mujibu wa sheria
hapo kwenye red ndo kitu gani hiyo?Wewe ni mpimbavu tena kupindukia. Hapo TISS inaingiaje? Ujinga unao wewe mwenyewe kutokana na kutumika vibaya
wewe kweli ni mwalimu unaandka utumbo huu huchukiwi kwa ajili ya chama unachukiwa kwa ajili ya mienendo yakokwa hiyo aendelee kuharibu mind za watoto?? Bahati nzuri hafahamiki lakini atafahamika tu
Ushauri wa kijinga kabisa kuwahi kutolewa hapa duniani! acha kupandikiza uoga usio na msingi kwa faida ya muda mfupi kisiasa.Napenda kumshauri mkuu afanye kazi yake kwa mujibu wa taratibu za kazi,na asishiriki siasa za moja kwa moja i mean kupanda majukwaani tu! ni haki yake kikatiba kuwa mwanachama wa kawaida wa chama cha siasa ikiwemo cdm,kupiga kura n.k! Kwa muda mrefu maccm wamekuwa wakizitumia vibaya taratibu na kanuni za utumishi wa umma vibaya na kwa maslahi yao kisiasa! VITA YA HAKI NI NGUMU LAKINI KWA PAMOJA TUTASHINDA!