Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Duh! Naona BK7 wamekukomalia.
Unahofu tu..t tunakupata!
Acha siasa za kijima.Utamwambiaje aache siasa kisha ajikite kwenye Taaluma wakati unajua unajua ndani ya taaluma ya kufundisha kuna somo la Elimu ya Uraia.Hata Mwalimu nyerere alianza Siasa akiwa anafundisha hadi alipoamua kuingia kabisa.Achana na mawazo hayo ya kijima
MM3,Nakupongeza kwa msimamo thabiti.Tuko pamoja sana,wapo wengi wanaonyanyaswakama wewe.Tutashinda vita hii
Kweli kabisa

Mkuu, huyu sidhani kama ana hofu bali anaanika ujinga wake humu. Yaani anakataa kama hatumiki na chadema huku akitaja jinsi anavyoshiriki mikutano ya chadema
Wewe umesomea wap uwalimu?? Mwalimu kazi yke ni kuelekeza tuu sio kutoa majibu wanapouliza maswali. Jikite kwenye kuwaelekeza namna bora ya kufikiri, namna boraa ya kupata majibu, na namna bora ya kujibu maswali. Huu ujinga wako w kwenda kueneza chama shuleni, nitakufuatilia na nikigundua ni shule gani utang'oka.
Wewe Ben Saanane unazifahamu sheria za utumishi wa umma mkuu au unamtia mwenzako ujinga.
Wewe umesomea wap uwalimu?? Mwalimu kazi yke ni kuelekeza tuu sio kutoa majibu wanapouliza maswali. Jikite kwenye kuwaelekeza namna bora ya kufikiri, namna boraa ya kupata majibu, na namna bora ya kujibu maswali. Huu ujinga wako w kwenda kueneza chama shuleni, nitakufuatilia na nikigundua ni shule gani utang'oka.
kushiriki mikutano ndiyo kutumika?? akili za div 5 bana!!!!!
Acha ujinga wewe boya huna lolote mtumwa wa mwigulu,unatishia watu kipuuzi puuzi huna lolote (tusi kali sana).
Nimeshatolea ufafanuzi tangu mwanzo, ningekuwa na nia ya kuuza sura ningekuja na Id yangu halisi. Nisingekuwa na sababu ya kuficha Id yangu. Ningeweka jina langu na mahala ninapofanya kazi
acha kumponza mwenzio akafukuzwa kazi na kuishi maisha ya kubahatisha..ya kitumwa na ya kuombaomba kama yako
Wewe siyo mahakama ndiyo inayo towa hukumu.!wewe ni msaliti tena unapaswa kunyongwa mara moja. una haribu mioyo ya wanafunzi kwa kuwalisha sumu ya siasa badala ya kuwafundisha masomo uliyopangiwa.
Yaani TISS ihangaike na Mburula ambaye hata shule hana? Hivi kama kweli hii TISS ambayo imeiweka nchinyetu salama hadi muda huu ikiamua kudeal na mtu kamamhuyu mburula itachukua muda gani?
Hapo kwenye vitisho ndipo ambapo napenda wengine wapatilie mkazo. Huyu ni nani katika nchi hii anaesema nitang'oka!! Anyway mimi nilisema hapo juu, kazi yangu siiogopi naiheshimu. Ninaposema kuiheshimu ni pamoja na kufuata taratibu za kazi tulizokubaliana na mwajili wangu pia bila kuvunja kanuni za nchi yangu. Huwezi kuniamulia wewe uliye nje majibu ya kuwapa wanafunzi ninapokuwa nafundisha darasani. Nitawapa majibu ya maswali ninayoulizwa na wanafunzi kwa kuzingatia taaluma yangu na maadili kazini na kwakuzingatia taratibu za ki nchi. Usinitishie kunifukuza kwani naweza kuondoka kwa hiyari yangu lakini hakika penye ukweli nitazungumza daima. Na nikwambie kitu kimoja umeniita mjinga ila elewa "Mjinga" ni jina zuli sana kama anayeitwa mjinga anaamua kuongea pale anapoamua kuongea anapoona mambo yanakunjwa kunjwa