Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Si useme tuu upo shule ya wazazi mwanga....ile ni CCM full....na wakuu wake wote ni wana propaganda wa ccm na wapelelezi.

Hizo shule kazi yake kubwa ni kupeleka wanafunzi ktk njia za CCM..haha..nayo imefikia wanafunzi wanaosoma hapo hawana haja na ccm?kweli CCM wanatia huruma...haha..lazima roho iwaume.....

jaribu kuwaelewa
 
kamanda pro chadema mchaga mdini vipi..! hapo mwanga kwa wapare wamejaa waislamu.....! sasa mtashindaje uchaguzi wakati hamtaki kura za waislamu
 
Peleka ujinga wako huko kwa wazazi wako, sasa mambo ya vyama mashuleni yanatusaidia nini?

Soma kijana achana na siasa itakugharimu ndugu yangu hawa wote ndani ya JF wamesoma na wana kazi zao za binafsi au wameajiriwa ndio maana Leo wapo na wanaendelea kuishi!

Achana na hizi siasa ndugu yangu kwanza upo form two na imefail kisa siasa! CDM ipo nawe Leo kesho haipo nawe Bali elimu utakuwa nayo Leo na kesho!
 
Unge highlight sehemu ambayo niliteleza ningekuona wa maana sana kuliko kuongea kejeli na dhihaka. Nadhani hapo ndipo tunapoona ni nani mgonjwa wa akili kati yangu na wewe

Na ualimu wako wote umeshindwa kujuwa makosa yako? Hao wanafunzi wako wakoje?

Post yako nzima utumbo mtupu na ugonjwa wa akili wa "hallucinations" na ukiendelea hivyo hivyo bila kutafuta madaktari wa akili wa kukutibu utaanza kuona CCM wanalala na wewe kitandani. Kalagabaho.
 
Mwalimu amekuacha njiapanda umeshindwa kumuelewa ,nenda darasani kwanza ndo urudi usome post ya mwalimu ,hiz division Five zinakuathir huwezi kuelewa kabisa
 
Back
Top Bottom