Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

we mchunga ng'ombe wa kirumba kanuni uzijulie wapi?

kanuni zipo wazi,Atafute standing order ya utumishi wa umma,wasikutishe mkuu kwani hata huku kwetu wapo ma-DSO wenye tabia hizo na sanasana walichofaulu ni kuwahujumu hasa walimu wasipate visemina kama vya usimamizi wa mitihani ya kitaifa na usahihishaji wake!!!! usikubali kuishi kama mtumwa ktk nchi yako au kuwa mtumwa wa visemina ambavyo haviwezi kukidhi matamanio yako badala yake jianzishie hata kimradi cha kuusaplti mshahara wako!!! pamoja daima!!!
 
Hakuna taasisi ndani ya nchi hii iliyokosa kazi za kufanya kama TISS! Wameacha majukumu yao yaliyowekwa kwenye makabrasha yao wanafanya mambo ambayo hata mgambo hawezi kubali kuyafanya. Hebu jiulize ni madudu mangapi yanafanyika nji hïi bila hatua yoyote ya kuweza kuyafichua? Mi huwa nahisi tiss alikufa nayo nyerere.

Una uhakika Tiss hawafanyi kazi?,katika taasisi inayochapa kazi nchi hii ni Tiss,shida ni kuwa kazi zao hazitangazwi hadharani hadi wewe ukajua.
 
kanuni zipo wazi,Atafute standing order ya utumishi wa umma,wasikutishe mkuu kwani hata huku kwetu wapo ma-DSO wenye tabia hizo na sanasana walichofaulu ni kuwahujumu hasa walimu wasipate visemina kama vya usimamizi wa mitihani ya kitaifa na usahihishaji wake!!!! usikubali kuishi kama mtumwa ktk nchi yako au kuwa mtumwa wa visemina ambavyo haviwezi kukidhi matamanio yako badala yake jianzishie hata kimradi cha kuusaplti mshahara wako!!! pamoja daima!!!

unaniambia Mimi au huyo mwalimu kilaza?
 
Wewe MM3 pa kuweka r hujui wala pakuweka l hujui. Hivi Mwalim kama wewe si majanga tu. Ndio maana Tanzania mijitu mijinga inazidi kuwa mingi, ikiwa Mwalim ni wewe tena wa history, hao wanafunzi watajuwa kuwa Vasco alipotua pwani yetu alikuta tumeendelea kuliko nchi nyingi za Europe?

Hivi wewe nae wa kutafutwa? Kwa lipi zaidi?

Nakushauri ukaonane na madaktari wa wagonjwa wa akili, una tatizo kubwa sana la akili.

Kwanza jifundishe kuandika, ni aibu mwalim wa historia kutokujuwa kuandika.

Halafu FF najifeel kukupenda sana. This package includes kukubadili dini, kukuoa
na political endorsement vilevile. I mean utahamia CUF au SAU ama hata TLP nitakapokuwa. I mean even CHADEMA utahamia na tuktakuwa kitu kimoja mpenzi.

Na ndoa yetu itakuwa takatifu.
 
Wewe endelea kumponz mwenzako. Hivi huyu anaetumia MM3 jina la kishabiki la siasa za chdema hawezi akawa na adabu haata shulen

acha kutisha watu,hizi ni zama za nuru!!! unazijua kanuni za utumishi wa umma wewe??? au unadhani zinasimamiwa toka lumumba??? kwa kukusaidia ni kuwa;mtumishi wa umma haruhusiwi kufanya siasa za majukwaani(kuhutubia ktk majukwaa ya siasa? na pia haruhusiwi kuwa kiongozi wa chama cha siasa.mtumishi anaruhusiwa kuwa mwanachama wa kawaida wa chama cha siasa na kupiga kura wakati wa chaguzi!!! kawatisheni wasiojitambua au walioajiriwa bila kuwa na sifa!!!???
 
kamanda nakutahadharisha mpango wako wa kutaka kugombea ubunge jimbo la mwanga kwa tiketi ya chadema henry kilewo anaujua. jiandae kumwagiwa tindikali maana kilewo ana kutafuta sana

Jamani, yani watu wengine wana mawazo ya ajabu kweli. Hapo maswala ya ubunge yanaingiaje?? Asee mimi siwezi na sitokaa niwaze kugombea nafasi yoyote ile, na kwa taarifa yako mimi huku sio mzawa nilikuja kwa maswala ya ajira baada ya kuchaguliwa na serikali. Naamini wapare wananafasi ya kumchagua kiongozi anaetokana na wao ambae anaifahamu fika jamii ya Kipare. Na kama Henry Kilewo atakuwa mteule pekee kupeperusha bendera kama alivyotangaza nia kwenye mkutano wa tar 12 Oktoba mwaka jana, mimi nitakuwa upande wake. Na si yeye tu nitakuwa upande wowote wa mgombea atayeteuliwa kwa tiketi ya CHADEMA.
 
ndo mana kilewo alikupotezea unatoa taarab tu hapa na ushabiki wako
 
Wewe MM3 pa kuweka r hujui wala pakuweka l hujui. Hivi Mwalim kama wewe si majanga tu. Ndio maana Tanzania mijitu mijinga inazidi kuwa mingi, ikiwa Mwalim ni wewe tena wa history, hao wanafunzi watajuwa kuwa Vasco alipotua pwani yetu alikuta tumeendelea kuliko nchi nyingi za Europe?

Hivi wewe nae wa kutafutwa? Kwa lipi zaidi?

Nakushauri ukaonane na madaktari wa wagonjwa wa akili, una tatizo kubwa sana la akili.

Kwanza jifundishe kuandika, ni aibu mwalim wa historia kutokujuwa kuandika.

Unge highlight sehemu ambayo niliteleza ningekuona wa maana sana kuliko kuongea kejeli na dhihaka. Nadhani hapo ndipo tunapoona ni nani mgonjwa wa akili kati yangu na wewe
 
Last edited by a moderator:
Yamkini Woga umekushika endapo ni kweli unahusishwa na mambo ya siasa huku wewe hufanyi siasa shuleni na mtaani,Ama inaweza ikawa umeamua kwa makusudi kujinadi ili TISS,CHADEMA NA CCM wakujue uko wapi na wakujie kisha utengeneza deal.

Jambo la msingi ni wewe kujitambua umeamua uwe nani hasa katika Jamii inayokuzunguka,Mwanasiasa ama Mwalimu keli kweli.

Japo mie nina rafika yangu ni mwalimu wa Sayansi akifundisha madent Lazima kufaulu wafaulu tu.Hakuna siasa Shuleni.KAMWE HUWEZI KUMTAMBUA KAMA NI MWANASIASA.

Ila ukimkuta kwenye anga zake yeye ni CHADEMA na ni mwanasiasa hatari na makini sana.

Unaweza kufanya siasa hata kama sheria za nchi hazikuruhusu ila itategemea kichwa chako kinauwezo namna gani kubeba mambo mazito na magumu na ya Utu Uzima.

NAKUSHAURI TIMIZA WAJIBU WAKO NA UTAKUWA SALAMA SALIMINI.
 
Halafu FF najifeel kukupenda sana. This package includes kukubadili dini, kukuoa
na political endorsement vilevile. I mean utahamia CUF au SAU ama hata TLP nitakapokuwa. I mean even CHADEMA utahamia na tuktakuwa kitu kimoja mpenzi.

Na ndoa yetu itakuwa takatifu.

Kwi! Kwi! Kwi! Kwiiiiii!!!!!
 
Jamani, yani watu wengine wana mawazo ya ajabu kweli. Hapo maswala ya ubunge yanaingiaje?? Asee mimi siwezi na sitokaa niwaze kugombea nafasi yoyote ile, na kwa taarifa yako mimi huku sio mzawa nilikuja kwa maswala ya ajira baada ya kuchaguliwa na serikali. Naamini wapare wananafasi ya kumchagua kiongozi anaetokana na wao ambae anaifahamu fika jamii ya Kipare. Na kama Henry Kilewo atakuwa mteule pekee kupeperusha bendera kama alivyotangaza nia kwenye mkutano wa tar 12 Oktoba mwaka jana, mimi nitakuwa upande wake. Na si yeye tu nitakuwa upande wowote wa mgombea atayeteuliwa kwa tiketi ya CHADEMA.

OPD daima !
 
Kwanza ni kukumbushe kuwa wewe ni mtumishi wa umma, kujihusisha kwa naman yoyote na siasa nikuvunja kanunui za utumishi wa umma, lakini nataka tu kukueleza kuwa japokuwa umejieleza vizuuri kwelikweli, umeiaibisha taaluma yako na elimu yako kwa maelezo yako uliyo kwisha yatoa hapo juu! kwa ufupi umejikanyaga kanyaga kutafuta sympathy wakati unalitambua kosa lako vizuri tu! napata shaka juu ya mahusiano yako na Mkuu wako wa kituo wanafunzi wazazi na waalimu wenzio kwa ujumla!

hebu pitia tena maelezo yako alafu utagundua ni kiasi gani ume ji undermine mwenyewe! ushauri wangu kwako nikuwa fanya kazi kaka achana na siasa. kama unazitaka acha kazi kafanye siasa kumbuka hii ni africa anything can happen!
 
Mkuu, huyu sidhani kama ana hofu bali anaanika ujinga wake humu. Yaani anakataa kama hatumiki na chadema huku akitaja jinsi anavyoshiriki mikutano ya chadema

sure........... Anatumika ila hajielewi........ Kwa maelezo yake, mi nahisi ni liiCCM hili , anaichafua CDM. Chagua moja kusuka au kunyoa
 
Mkuu, huyu sidhani kama
ana hofu bali anaanika ujinga wake humu. Yaani anakataa kama hatumiki na
chadema huku akitaja jinsi anavyoshiriki mikutano ya chadema

Kushiriki mikutano au matukio ya CDM ni kutumika?Hakuna kitu kama hicho provided anatekeleza wajibu sawasawa.
Kwa kauli yako sitoshangaa ukisema kushiriki mikutano ya CCM ni kuwajibika!
 
acha kutisha watu,hizi ni
zama za nuru!!! unazijua kanuni za utumishi wa umma wewe??? au unadhani
zinasimamiwa toka lumumba??? kwa kukusaidia ni kuwa;mtumishi wa umma
haruhusiwi kufanya siasa za majukwaani(kuhutubia ktk majukwaa ya siasa?
na pia haruhusiwi kuwa kiongozi wa chama cha siasa.mtumishi anaruhusiwa
kuwa mwanachama wa kawaida wa chama cha siasa na kupiga kura wakati wa
chaguzi!!! kawatisheni wasiojitambua au walioajiriwa bila kuwa na
sifa!!!???

Ndivyo inavyotakiwa,lakini ndivyo inavyotekelezeka Tz?Hapana;kuna watumishi kibao wa Umma jambao ni viongozi wa CCM na hakuna hatua wanayochukuliwa.Mwendelezo wa matumizi mabovu ya rasilimali za umma!
 
Nikisoma post za watu naona wengi bado hawajielewi wanasema na wanachomaanisha.
MM3 simamia unachokiamini na endelea kutuhabarisha.
Ila ule waraka kama ulishiriki kwa hiari au kwa lazima umetukosea sana waTanzania umekuwa sehemu ya mgawanyiko ndani na nje ya chama,unapaswa ufujuzwe uanachama ubakie shabiki tu.
Na kama ndivyo katika waraka ule anzisha uzi tukujadili kwa fikra jadidi.
Nikutakie mapambano mema dhidi ya unafiki na usaliti wako.
Aleykum!
 
Pia asivyoelewa namna ya kujieleza ame reveal hata shule anayofundisha. Kuna shule inaitwa Green Birds. Ni shule peke pale Mwanga.
 
Naona ndugu mwalimu unatafuta umaarufu.

Yaani CCM waache kuwa concerned na wakina Prof Baregu wa chuo kikuu wakuhofie mwalimu wa shule ya kata.

Ooooh plzzz give us a break!
 
Back
Top Bottom