Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

Mkuu ushuri wangu ni huu, achana na siasa, jikite katika taaluma yako. Fundisha historia, achaa kuchanganya siasa. Kama unapenda siasa achana na chaki nenda kwenye majukwaa ya kisiasa utafika mbali ila ukichanganya utumishi wa umma na uchadema wako ni hatari.

Naomba nieleweke hivi kiongozi, mimi sifanyi siasa shule kama nilivyoeleza hapo juu. Historia ni somo ninalofundisha, km somo linavyojieleza nafundisha matukio ya kihistoria ambayo siasa inahusika hapo. Kwa mfamo hivi mwanafunzi anapokuuliza unapokuwa darasani,, What are the main reasons for political instability in Africa halafa akaihusisha milipuko ya mabomu Arusha, hapo wewe utamjibu nini?
 
Kweli mkuu. Huyu si wa kumuacha hata kidogo. Hawezi kuendelea kuharibu watoto wa wenzake. Anastahili kupewa adhabu ambayo hataisahau mpaka anaingia kaburini

watu wa aina hii mkuu ni hatari sana kwa taifa letu. yeye amesoma, amepata kazi sasa anaharibu watoto wa watu, ni muhimu sana kumshughulikia hadi ajitambue na aheshimu mipaka ya utumishi na siasa
 
mbaya zaidi ni mzinzi, kumbe huwa anavizia siku za kufunga shule anawachukua wanafunzi wake anaenda kuzini nao moshi mjini. ameiga tabia za mbowe na slaa huyu

Mkuu,
Siyo ameiga kwa wanaCCM kama kapuya & co.?Maana nasikia ma-role model wa vijana wengi wa TZ wapo CCM!
 
unatafuta umaarufu wa chee halafu unajichanganya mwenyewe. wewe una nini hasa cha maana hadi utafutwe, kwanza huna maadili maana mipango ya kuzini na wananfunzi wako ni utovu mkubwa wa nidhamu na maadili ya uongozi na kukosa uadilifu

Umaarufu hautafutwi mitandaoni kiongozi, jaribu kuchekecha akili yako. Kama ningekuwa nataka umaarufu kwanza ningejitaja jina langu na hata mahala ninapofanya kazi. Sasa huo umaarufu nitaupata wapi kwa ID ya MM3. Au wewe unamfahamu MM3???
 
Polesana MM3, hayo ndiyo yanaitwa mateke ya farasi anayekata roho. Kama hujachanganya mambo ya vyama mashuleni basi usiwe na hofu, muhimu jihepushe na kila mtego utakaouhisi. Ila hii ID yako MM3 ni kama inafuatana na ile ya Mh. Zitto MM2 kwenye ule waraka, je havina mahusiano? Ila mimi siyo TISS...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo inachofanya ni kujitetea tu........kwa yyt yule hawezi kuamini kama hupandikizi chuki kwa hao wanafunzi,inawezekana kweli hufanyi hivyo lkn kwa maelezo yako na mahaba juu ya CDM ni ngumu kuaminika na hii Serikali inayotafuta mchawi kila uchao.......pole na jitahidi kutochanganya kazi na SIASA.
 
Piga kazi kamanda usitishwe kwani ukombozi umekaribia'
 
Ushauri wa Kikoloni huu,

Mkuu huo ndio ushauri ambao hata Dr slaa alimpa kamanda kova, kama anataka siasa avue yale magwanda. Na mimi namwambia tena huyu mwlimu kama anataka siasa aachane na chaki kama alivyofanya mwalimu nyerere. Sheria za utumishi wa umma zinakataza watumishi kujiingiza kwenye vyama vya siasa.
 
Wewe ni mpimbavu tena kupindukia. Hapo TISS inaingiaje? Ujinga unao wewe mwenyewe kutokana na kutumika vibaya

Nadhani wewe ndiyo unaeingiza TISS, lakini si mbaya huo ni mtandao mkubwa sana. Mara nyingine unaweza kumuona mtu kama mwendawazimu lakini kumbe ni TISS
 
teacher hadithi nyingi beba bendera ya chama eneza chama popote ulipo ilimradi isiwe darasani nchemba kachagulia naibu waziri lakini leo alikuwa anapiga siasa star TV ,
 
mbaya zaidi ni mzinzi, kumbe huwa anavizia siku za kufunga shule anawachukua wanafunzi wake anaenda kuzini nao moshi mjini. ameiga tabia za mbowe na slaa huyu

Nadhani ni busara kumuita mwalimu alienishirikisha kuwa ndiye mzinzi. Wanafunzi wale baada ya kuwashirikisha katika huo mpango niliwahakikishia kuwa wangekuwa salama na hakuna ambae angewagusa kwa maana ya kufanya nao uchafu. Lengo ilikuwa ni kumtia nguvuni yule mwalimu ili ukweli ujulikane
 
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
..............
mwalimu umepotea.
 
Naomba nieleweke hivi kiongozi, mimi sifanyi siasa shule kama nilivyoeleza hapo juu. Historia ni somo ninalofundisha, km somo linavyojieleza nafundisha matukio ya kihistoria ambayo siasa inahusika hapo. Kwa mfamo hivi mwanafunzi anapokuuliza unapokuwa darasani,, What are the main reasons for political instability in Africa halafa akaihusisha milipuko ya mabomu Arusha, hapo wewe utamjibu nini?

Mkuu ni rahisi sana..define hiyo term "political instability, mpe mifano ya nchi zenye political instability, na hayo mabomu ya arusha kama una enough and vivid information to justfy ni political instability waeleze bila kuwa bias. Kinachonisikitisha wewe ni kada wa chadema unafundisha history kw muktadha huo huwezi kuwa objective. Wewe inaelekea hata unafundisha vijana kugoma hapo shuleni, sikuoni kama ni mtu ambae unaweza kutofautisha mahaba yako kwa chadema ukiwa darasani, na inaelekea mwanafunzi akikupinga unamuona msaliti na unampa sifuri kisa katika easy yake kaisifia serikali. Huffai kufanya kazi kwenye shule za umma nenda sombetini kafundishe harakati sio kutharibia shule na vijana wetu.
 
Ningependa ieleweke kuwa kuwashirikisha wanafunzi wale hakukuwa na maana kuwa nawauza ili kwenda kufanya nao uchafu. Kilichokuwa kinafanyika ni kuandaa mazingira ya kumtia nguvuni mwalimu aliepanga ile mipango michafu ili ukweli upatikane. Kwanza alikuwa amenishirikisha katika kitu ambacho ni utovu wa nidhamu. Lakini hata kama hakutumwa kuniharibia mimi bado ana mambo ya kujibu kwanini awarubuni wanafunzi. Na mpaka ninvyozungumza hapa nina ushahidi wa call recordings nilizokuwa nafanya nae mawasiliano kipindi chote cha huo mpango, ninazo recordings za siku ambayo alipiga simu kwangu na kuzungumza na mmoja wa wale wanafunzi wawili. Ninazo call recordings nilizokuwa nafanya mawasiliano na waandishi wa habari ambazo zote nimezi save kwenye Dropbox. Kwahiyo mimi pamoja na waandishi wa habari tuliwahakikishia usalama wa hali ya juu wale wanafunzi
 
Mkuu ushuri wangu ni huu, achana na siasa, jikite katika taaluma yako. Fundisha historia, achaa kuchanganya siasa. Kama unapenda siasa achana na chaki nenda kwenye majukwaa ya kisiasa utafika mbali ila ukichanganya utumishi wa umma na uchadema wako ni hatari.

Huyo hana jipya ni promotional tu
 
Ningependa ieleweke kuwa kuwashirikisha wanafunzi wale hakukuwa na maana kuwa nawauza ili kwenda kufanya nao uchafu. Kilichokuwa kinafanyika ni kuandaa mazingira ya kumtia nguvuni mwalimu aliepanga ile mipango michafu ili ukweli upatikane. Kwanza alikuwa amenishirikisha katika kitu ambacho ni utovu wa nidhamu. Lakini hata kama hakutumwa kuniharibia mimi bado ana mambo ya kujibu kwanini awarubuni wanafunzi. Na mpaka ninvyozungumza hapa nina ushahidi wa call recordings nilizokuwa nafanya nae mawasiliano kipindi chote cha huo mpango, ninazo recordings za siku ambayo alipiga simu kwangu na kuzungumza na mmoja wa wale wanafunzi wawili. Ninazo call recordings nilizokuwa nafanya mawasiliano na waandishi wa habari ambazo zote nimezi save kwenye Dropbox

ha ha ha unauza sura kina babu wakuone?
 
Pole sana mwalimu,usife moyo.
Waambie watoto historia ya nchi yetu,Muungano wetu,Azimio la arusha,rasilimali zetu zinavyofujwa na serikali ya maccm,mafisadi a.k.a serikali ya mizigo.
NB.Rejea harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi Soweto,Afrika Kusini
 
huwezi kuzuia roho ya ukombozi na wala hawezi kuizuia mtu yeyote.kama kweli wewe ni mkombozi wa watanganyika waliodanganyika siku nyingi endelea tena kwa nguvu zote maana mateso yakizidi wokovu umekaribia.kagera yupo mwl ni mwenyekt wa uvccm,usihofu kaka tena endelea na hao watoto waeleze ukweli wanaopaswa kusikia tuko pamoja.ushauri usitumiwe na cdm tumikia taifa lako kama unalitumikia kupitia cdm ni wewe ila utende yakupasayo.mungu akuepeshe na madhira ya ya wanafiki,hata sisi tuko idara nyeti ila Pamoja daima ndiyo salamu yetu bila kusahau m4c.ukianza na Mungu utamaliza na Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: MM3
Back
Top Bottom