Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Nguvu si ndio CV zenyewe sasa 😂
Kuna kazi za mashamba ya miwa zilitangazwa mwaka huu mojawapo ya marupurupu ni uji asubuhi kabla ya kwenda shambani.
😹😹😹😹 Eti?!
Ko uji ndo marupurupu..!!
 
Wanaturudisha ukoloni wa CHEAP LABOUR.

Tukemee unyonyaji wa WAHUNI hawa wanaotumia matatizo ya wananchi kuwanyonya...Hivi kweli mtu ambaye unajielewa unaweza kumlipa mtu laki 2 kwa mwezi?

Hivi Elfu 7 kwa siku inatosha vipi? Halafu kazi yenyewe ni ya kutumia nguvu ambayo inahitaji ule ushibe milo yote mitatu ,unaimudu vipi?

Anatokea Mpuuzi mmoja anatetea unyonyaji ,hatuwezi kuacha kuwaambia ukweli ,wafanyabiashara wanatengeneza faida kubwa sana ila wanawalipa wafanyakazi hela kidogo sana halafu wao wanaenda kutapakanya fedha kihanasa wakati hiyo fedha wangeweza kushare na staffs wao.

Narudia kusema tena kama mnaona laki 2 ni nyingi sana ,tafuta vijana huko mtaani kwenu ukawape/ukawaunganishe na hiyo ajira.
Yale yale ya ma house girls na ma house boys..
Mambo yamebadilika, kama waona kazi rahisi fanya mwenyewe!
Hao wa kazi ngumu nawo wanataka maisha bora, maendeleo, kutunza familia zao na wazazi. Walipe kima cha chini kilichotangazwa na marupu rupu...
 
Back
Top Bottom