Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,857
- 58,656
Kama ni hvo mkuu naomba niangalizie nafasi ka naweza kupata aiseeee nakuhakikishia tafanya kazi kwa bidiiDah ,maisha haya ila poa Mimi kwenye factor yangu silipi mtu Kwa Mwezi, nalipa Kwa siku ,kadri kijana anavyojituma ndivyo anavyotoka na pesa ,kuna muda mtu anafikisha laki mbili per day.
Napenda maendeleo yangu na ya wengine , vijana wangu karibu wote kila mtu anaishi kwake,vyumba viwili,vitatu ni kawaida mradi tu hadaiwi Kodi