Nahitaji vindama vya mbuzi

Nahitaji vindama vya mbuzi

Jitahidi uwakuze haraka kuna timu itakuja kuwanunua msimu wa ligi
 
Tunauza vidume tu hatuuzi majike wakiwa tayari bei zake ni kuanzia laki moja na nusu na kuendelea ikitegemena na umri unavyo zidi kuwa mkubwa, napia nasisitiza sana ukiweza kufika hapo tunapo fugia ni bora zaidi kuliko kuona kwenye picha, karibu sana.
 
Kusema ukweli hii mifugo inahitajika juhudi sana ili uweze kuona faida yake kuliko kumwachia mfanyakazi maana wao hawana uchungu wa fedha iliyo wekwa kwenye mradi huo.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Asante sana, nikishakuwa vizuri kiuchumi nitakuja kukutembelea nijifunze kwa vitendo ili na mimi niwekeze kwa upande huo.
Karibu sana nakushauri anziq sasa tembelea wafugaji itakusaidia kuanza kujua nini ufwate ktk ufugaji,wapi uanzie na vipi ujiandae ili ufikie malengo yako. Kujifunza kwangu ni bure kabisa gharama yako ni kufika kibamba .
 
Sawa, asante sana kwa ushauri kiongozi. Naomba mawasiliano yako ili nije kujifunza siku yoyote ratiba zako zikikaa vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom