Nahitaji vindama vya mbuzi

Nahitaji vindama vya mbuzi

Mkuu. Hawa mbuzi ni wako?
20250716_112502.jpg
karibu sana
 
Kwa watu wenye more than 14 acres hii ya mbuzi ni bonge la idea kama unatarget return ya 1M+ TZS profit kwa mwezi. Kama una taarifa za kutosha kuhusu huu mradi. Business plan yangu nimeificha sandukuni nikipata kibunda najitosa.
Wala hauhitaji kibunda wa nyumbani. Anza na ulichonacho na anza sasa.
 
Hao siwauzi ni wakwangu wa kuzalisha, ila huwa natoa vidume kila vinapo kuwa tayari kuanzia miezi 5 kwenda mbele na bei ni maelewano kuanzia laki 2 kwenda mbele kutegemeana na Mbuzi na ubora.
 
Wala hauhitaji kibunda wa nyumbani. Anza na ulichonacho na anza sasa.
Nazungumzia uwekezaji kama ilivo wanaofungua duka la hardware au viwanda. Kuanzia chini inawezekana lakini hakikisha una kazi nyingine inayokuingizia pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom