Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki

Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki

kuna ukorofi uliwahi kumfanyia dada wa watu miaka kumi iliyopita
then akakutembelea kwa kamati husika

Hutasimamisha milele na unakosa hamu , we kaa vizuri na ukumbuke ukorofi uliofanya kwa huyo dada
 
Wala huhitaji, we oa then everything will be fine the thing you need to do ni kusahau mambo yaliyopita
 
tangaza hilo swali kwa camp yeyote walipo wamasai...!! utapata hyo kitu:eyeroll2:
 
Hivi aliyekuambia kuna vidonge vya nyege ni nani??
 
Edmund unadai umeachana na mambo ya wanawake 10 years past..:confused2:
Kwa hiyo huwa .mlingoti hau-stand? ama ni hamu tu haikuji?
1. Kula vyakula vya kuongeza hamu wanadai ufuta,karanga,pweza, ngisi,watu wa Pwani wanaweza kukusaidia ..
Vidonge nadhani vina madhara makubwa baadae..

Duh kweli kuwa uyaone!sasa miaka 10,huna hamu ya kuwa na mwanamke,unapata hamu ya kuoa kutoka wapi kaka?umelazimishwa kuoa?Ebu tueleze hasa tatizo lako tujue tiba mbadala au kajogoo bamia nn?

what is the diff btwn haustand na hamu haikuji my dia FL1

hapo thatha, itakuwa kalazimishwa tu huyu lol! kwanza una miaka mingapi Edmund?:A S 39:

mshauri mwenzi ili naye apate starehe ya paradiso ya duniani jamani

sababu ipi inayokufanya sasa utake kuoa?

Be serious Edmund familia ipi utayojenga wakati hamu ya tendo huna?haya ni maisha usipende kuiga labda kwakuwa wengine wanoa na ww ufanye hiyo,si lazima watu wote waoe/waolewe na si kosa kutofanya hivyo,I guess unatatizo kubwa zaidi ya hilo,nenda kacheki na wataaalamu wa ubongo.:thumb:

Hivi aliyekuambia kuna vidonge vya nyege ni nani??

EDMUND Unapendwa sana na wadada wa JF wamekuhurumia wanajua mtu unavyojihisi mambo yakiwa hivi
 
Du hii kali. Halafu unataka kuoa? Huduma utaitoaje kama huna matamanio na hakidumu au? Yaani hebu eleza vizuri, ni kuwa hutamani kabisa? Ni kuwa husimamishi? Kwa sababau ni lazima utamani na kuwa na hisia ndipo chama kinadumu. Kwa mantiki hii na kwa maelezo yako inaelekea chama haikudumu tena?? Au kuna mwanamke ulimtapeili huko nyuma akaamua kuondoka na mali yake? Hayo mambo yapo aise. jitafakari kwanza!!

Maane maane..... yaani kweli hayo?? ukajibebea...itakuwaje mali yako tena, watu mna visanga!
 
Utakuwa umeisahau utamu, ukiikumbushia kwa kuonja siku moja utakuwa mlevi. Jaribu, utaichoka. Lakini unayemwandaa kumuoa anafahamu hilo? Angalia usije ukaoa bila kujaribisha, huenda ukaumbuka...! Kula vyakula vyenye kuongeza nguvu hizo, na sio vidonge. Pata ushauri kwa wataalam wa mambo hayo.
 
Edmund unadai umeachana na mambo ya wanawake 10 years past..:confused2:
Kwa hiyo huwa .mlingoti hau-stand? ama ni hamu tu haikuji?
1. Kula vyakula vya kuongeza hamu wanadai ufuta,karanga,pweza, ngisi,watu wa Pwani wanaweza kukusaidia ..
Vidonge nadhani vina madhara makubwa baadae..

Nasikia mijusi na ma-nge pia ni dawa nenda kale😛layball:
 
Hivi hili jukwaa siku hizi linajadili hata mambo ya namna hii? Mbona sisi tulio under 18 kama tumelazimishwa kusoma mambo yaliyotuzidi umri? Naona kama kuna maneno mazito mazito kwenye kichwa cha habari. Tunaomba mod atupunguzie makali au ipelekwe kule kwenye jukwaa la wenye funguo zake.
 
Sasa kama huna hamu ya mwanamke una hamu ya nini tena manake
isije ikawa wewe si ********* tena mambo haya huwa yanaendana
sana.
 
namuuliza swali mtoa topiki...

1.Je uwa unapata ndoto za kujamiiana na kufikia mshindo huru?
2. Je uwa unajichua?
3. Jogoo wako anasimama ipasavyo?

Naomba majibu ya hayo maswali kuntu kwanza
 
Hauko sawa Edimund! TEN years huna hamu na mwanamke? Ina maana una hamu na mtu wa jinsia yako tu? Mbona hueleweki? Nenda kwa wataalamu wa tiba za akili.. Watakusaidia. Vinginevyo kuwa single kwa miaka mingine 10.
 
Sidhani kama kuna vidonge vya kuongeza nyege. Ila zipo dawa za kuongeza nguvu za kiume. Nyege ni kitu kinachotoka kwenye ubongo. Kama mawazo yako na akili yako hayajaji tune kinyegenyege itakuwia vigumu sana.

Ila jaribu kutafuta vidonge vya testosterone booster....vyaweza kukusaidia.
 
Edmund ndugu yangu, miaka kumi hujapiga game, nakushauri usioe maana utamegewa mkuu, baki kama mtawa tu tujue moja maana hao wamasai, wachina na wengine siku hizi ni full usanii.
 
Sidhani kama kuna vidonge vya kuongeza nyege. Ila zipo dawa za kuongeza nguvu za kiume. Nyege ni kitu kinachotoka kwenye ubongo. Kama mawazo yako na akili yako hayajaji tune kinyegenyege itakuwia vigumu sana.

Ila jaribu kutafuta vidonge vya testosterone booster....vyaweza kukusaidia.
mkuu ni daktari au ndio katika kuangaika kutafuta maisha mazuri ya unyumba ndio umekutana na hiyo booster ya mbegu?
 
Duh! uko deep NN!
 
nakuomba tu ndugu yangu ubadilishe lugha ya kichwa cha habari.........nakuomba nikiwa ni mkristo na ninayeheshimu watu wa dini nyingine pia hasa mwezi huu ambao hatutasikia vurugu wala ujambazi...!
 
:A S 8:ukiingia na demu chumbani, lazimishia kitu kiingie kitasimamia huko huko kaka na ashki zitaanzia tu punde utakapo piga kamoja. zidumu siasa za chama.
 
mkuu ni daktari au ndio katika kuangaika kutafuta maisha mazuri ya unyumba ndio umekutana na hiyo booster ya mbegu?

Imetokea tu kuwa ni silka yangu kupenda kujifunza mambo mengi. Mimi hata shule yenyewe sijaenda kiivyo. Ni high school dropout. Ni raghba tu ya kutaka na kupenda kujifunza mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom