Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Edmund, Aug 18, 2010.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani wana JF naomba mnisaidie kwani mwaka wa 10 sasa sina hamu na watu wa jinsia nyingine (wanawake). Niliachana nao rasmi tangia muda huo kwani kila nikiwavutia room nakosa kabisa hata hamu ya kuwanyonya wala kutomasana.

  Kwa ujumla nakosa ASHIKI kabisa.

  Naleta mada hii kweni kwa kuwa sasa najiaandaa kuoa (nadhani 2011), naomba mnisadie kupata hivyo vidonge kama vipo au hata tiba mbadala ikiwezekana kwa lengo la kunitoa AIBU.


  Wasalaam mdau mwenzenu.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160

  Kichwa cha habari ni tofauti na msaada unahoitaji!

  Nenda kawaone washauri nasaha kwanza - Kama miaka 10 hujawahi kukutana kimwili na mwanamke definitely HUITAJI KUOA - Unaweza kuwa towashi and that is it!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Edmund unadai umeachana na mambo ya wanawake 10 years past..:confused2:
  Kwa hiyo huwa .mlingoti hau-stand? ama ni hamu tu haikuji?
  1. Kula vyakula vya kuongeza hamu wanadai ufuta,karanga,pweza, ngisi,watu wa Pwani wanaweza kukusaidia ..
  Vidonge nadhani vina madhara makubwa baadae..
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  nenda kwa wamasai watakusaidia
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duh kweli kuwa uyaone!sasa miaka 10,huna hamu ya kuwa na mwanamke,unapata hamu ya kuoa kutoka wapi kaka?umelazimishwa kuoa?Ebu tueleze hasa tatizo lako tujue tiba mbadala au kajogoo bamia nn?
   
 6. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  what is the diff btwn haustand na hamu haikuji my dia FL1
   
 7. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo thatha, itakuwa kalazimishwa tu huyu lol! kwanza una miaka mingapi Edmund?:A S 39:
   
 8. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sasa miaka kumi yote hiyo ndugu yangu halafu ukakaa kimnya?kwani mshedede uko fiti?au ni nyege tu unakosa?fafanua.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wakati mmnafikiria kuachana na maswala ya kumega wewe ndo kwanza unataka bora ujibakie hivyo hivyo kumega bana hasara ni nyingi kuliko faida ya kumega.
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Du hii kali. Halafu unataka kuoa? Huduma utaitoaje kama huna matamanio na hakidumu au? Yaani hebu eleza vizuri, ni kuwa hutamani kabisa? Ni kuwa husimamishi? Kwa sababau ni lazima utamani na kuwa na hisia ndipo chama kinadumu. Kwa mantiki hii na kwa maelezo yako inaelekea chama haikudumu tena?? Au kuna mwanamke ulimtapeili huko nyuma akaamua kuondoka na mali yake? Hayo mambo yapo aise. jitafakari kwanza!!
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mshauri mwenzi ili naye apate starehe ya paradiso ya duniani jamani
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Unaujua Mkuyati...?!!!:glasses-nerdy:...ikishindwa hiyo.. walahmushkeli yako itakuwa kuba sana!!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kama amekaa miaka kumi bila kuenjoy hata akila kizizi hicho hata pata starehe.
   
 14. E

  Edmund Senior Member

  #14
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa kunishauri ndugu, naahidi kuufanyia kazi USHAURI wako.
   
 15. E

  Edmund Senior Member

  #15
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kwamba nimepoteza hamu tu ya tendo lenyewe la ndoa lakini mambo mengine yote yapo poa kabisa.
   
 16. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sababu ipi inayokufanya sasa utake kuoa?
   
 17. E

  Edmund Senior Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuyati unapatikana wapi ndugu yangu.
   
 18. E

  Edmund Senior Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahitaji kujenga FAMILIA
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  pita barabara ya manzese kwenda mabibo kuna waganga kibao wanauza mikuyati
   
 20. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Be serious Edmund familia ipi utayojenga wakati hamu ya tendo huna?haya ni maisha usipende kuiga labda kwakuwa wengine wanoa na ww ufanye hiyo,si lazima watu wote waoe/waolewe na si kosa kutofanya hivyo,I guess unatatizo kubwa zaidi ya hilo,nenda kacheki na wataaalamu wa ubongo.:thumb:
   
Loading...