Nyamtukila
Member
- Dec 9, 2017
- 29
- 5
Wadau nipen msaada kuhusu hiv vibao vyeus vinavyowakawaka madukani kwa maandishi ya "karibu" MPESA/TIGOPESA etc" , "Open", na vingine vina michoro kama mkasi hasa kwenye salons,
Vibao hiv huwa vinauzwa au kutengenezwa wapi
Vibao hiv huwa vinauzwa au kutengenezwa wapi