SHIMBA NGOSHA
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 294
- 368
je mpapai mmoja hutumia muda gn mpaka kuzaa na hubeba watoto wangp?View attachment 668977 wadau wengi nimeona unaulizia upatikanaji wa mbegu jamani mbegu zipo madukani tembelea duka lolote la pembe jeo na mifugo ulizia mbegu ya papai hybrids , utapewa kazi ni kwako kuchagua unataka mapapai yepi yenye rangi nyekundu, karogi nk ni wewe tu
Mbegu hii huitaji kuiotesha wewe ni kuandaa mashimo vizuri kisha kuipanda nakuanza kuitunza tu
Hiyo mipapai katika picha ina miezi sita tu
Soko la papai lipo na kubwa tu sema watu hawastukia , unaweza tengeneza soko lako mwenyewe kwa kuwauzia mama lishe wa mitaani, pia katika hotel, pia katika hospital za mikoa, wilaya nk , haitaji utoe zao lako mkoani kupeleka dar hapo hapo ulipo unaweza fanya biashara
Wazo hili nilitoa hapa hapa JF nikalifanyia kazi na limezaa matunda, napokea sm kila siku watu wakitaji mapapai sababu ishajulikana namiliki mipapai kila mwezi na uhakika wa kutengeneza laki tano
Bei ya mbegu za hiyo mipapai inanzia elfu therathini na tano, inategemea na eneo ulilipo
na huzaa mara ngp mpaka kufa kwake????