Jamaa inaelekea mbabe maana kuna sehemu amesema anashindwa hata kumkata makofi mkewe pindi anapomuudhi, kwa condition alizopewa tu kama mtu mzima litakiwa ashituke maana ukishaoa huyo mke anakuwa sehemu ya maisha yako na of course ana change status kwa kuhamia kwenye ukoo wengu na hata chochote kikitokea yeye ndio msemaji pamoja na mke wake.
Itabidi akae chini tu na mkewe maana raha ya mme na mke ni kuwa huru na mambo yao
i cant belive my eyes kwa nilichokisoma ,cary your burden and go man mwambie mkeo kama anakutaka akufuate na baada ya 3month utaoa kama hataleta pua yake,au mtie huyo mwanamke kwa ubwete akilia kwa uchungu utamu baba yake akitoka kuangalia maana bado ni mdogo au kaka zake wachanganyie na wao kwenye game bullshit utakubalije kuolewa mtoto wa kiume wewe proove beyond reasonable doughts that are a gentleman kha
hahahaha,kwani unamjua?Kitoabu wewe ni mwongo.
Dada, weacha tu kama kuongea (kuomba kuhama) nisha ongea sana, ila jibu ninalopata ni moja tu, kama nimemchoka mtoto wao basi niendezangu niwaachie binti yao, kitu ambacho nikigumu kwangu kwani bado nampenda sana mkewangu nazaidi nahitaji mtoto wangu apitie kwenye malezi ya wazazi wake wawili (mimi na mkewangu)
Hata mie nimeshangaa nilichokisoma, sikuamini! Utaoaje na kuishi ukweni na mkeo? Tena nasema kajenga. Namshauri asepe upesi, aache kulalamikaHeeee........wanaume wa hv bado wapo
Khaa si usepe?wallah mie kaka angu aoe wampe masharti ya kipumbav lazima nikwende andamana na hao wakwe
watanieleza kwamba what is so special kwa binti yao ambacho sie wanawake wengine hatuna au sie wazazi wetu hawana uchungu kutuacha kwenda kwa waume zetu
na kumrudisha bro nyumban huku ni kudhalilishana yan under same roof hell NO!!
leo hutaki kula ugal na ndo ratiba ya kwa wakwe kero ya nn
wataka pata massage on sofa umetoka kazin,wataka watch movie huku wapata cudling hakuna loh umeoa wa nn?
abaki huko kwao aolewe na baba yake kama sio kaka zake
Maana huu ni upuuz tena mkubwa sanaa mwisho wa siku utapangiwa siku za kufanyana na mkeo Lol
hivi hevern on earth unajua kinyachu?hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
na mimi niliwaza hivyo hivyo na ni kwa asilimia 99% hii ni kweli tumeshaona haya baba atakuwa anafaidi na mkweweukichunguza vizuri unaweza kukuta huyo binti anagegedwa na huyo baba yake anayesema binti yake hajakua,,,,,,,,
aione figganiggahivi hevern on earth unajua kinyachu?
Ngoja niyafanyie kazi maneno yako bro, kwani wewe nimtu kama wapili unanifunua akili yangu kuhusu hilo (baba mkwe kuteambea na wanae wa kike)Kimbia kijana,jambo kama lako nimeshalishuhudia kwenye familia fulan yule mzee alikua anatembea na mabint zake na walipohitaji kuolewa ilibid mwanaume ndo aende kuishi kwa mwanamke,
hii inahusishwa sana na imani za kishirikina na mwanaume baada ya kufika nyumban kwa mzee na yeye anaingizwa kundini...take care
na mimi niliwaza hivyo hivyo na ni kwa asilimia 99% hii ni kweli tumeshaona haya baba atakuwa anafaidi na mkwewe