Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Hukuwa na msimamo toka mwanzo

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Heheh...kama binti yao kaolewa sijui wanataka akue nini tena...sijui hata ile show ya kikubwa hao wazazi huwa wanaisimamia binti yao asiumizwe!!!

Jamaa kawekwa ndondocha bila kujijua ili atumike kama ATM au kiwanda cha kufyatua shekeli...

hahaaa maana viungo vyote hapo vinafanya kazi kikamilifu............sijui wanataka wakue mara ngapi!!!!!!!
 
Mr Rocky na mie hapo ndo nashangaa...hapo maamuzi ya haraka inabidi yachukuliwe aisee.........

huyu Asprin we muache tu.......huko alikofungiwa huko
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio unatamani kuoa mke wa pili kwa kisingizio hiki? but pole
Kuongeza mkewapili vipi wakati me mwenyewe naishi ukweni? Huyo mke wapili atakubali kuja kuishi ukweni kwangu? Ninacho taka ni kujitawala ndani ya ndoa yangu sio kingine.
 
teh teh teh JF raha tupu...pole mkubwa. Wanakuja kukupa ushauri.
 
jamani wewe kaka sijui ni uvivu au ujinga!!!!!!! fanya maamuzi ya kiume toka hapo we na mkeo. yani kitndo cha hao wazazi kukubali kuolewa ameshakuwa tayari.

je ndani ya hiyo miaka minne umeweza kujenga?

unafanya kazi ?
 
^^
Oo! God
Forgive
me
Hii hali na navyojijua na wengine wanavyonithamini hata wiki sikai hapo.
Am all independent and freedom lover
^^
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
Mpendwa; Mkuuee mie naona unahamu ya kumpiga huyo wifu!! maana shauku ni kuwa free uanze kumdunda!!.. Hiyo sii big deal Kuhusu kuwa free just ongea na baba mwenye nyumba ndiyo alokukaribisha umueleze au weka kikao na washemeji ...uchukue uamuzi na uende kulea familiya yako nzuri kama utakavyo..ofcoz kila kitu kwa maelewano, kwani mda ulokanao unatosha nawao wapumue !! nakutakia kheri na maisha muruwa Tafadhali usimpoteze mkeo (mama watoto wako) yeye masikini hana dhambi katika hili "take care mkuu"
 
ungejaribu kuweka hata paragraph mkuu.........

sasa kinachokuzuia kuhama na mkeo ni nini!!!!!!

hili ingebidi ulitafakari toka mwanzo....uhuru wenu nyie wawili

lazima muukose tu....kaa chin zungumza na mkeo na hiyo familia pia!!!!!
Dada, weacha tu kama kuongea (kuomba kuhama) nisha ongea sana, ila jibu ninalopata ni moja tu, kama nimemchoka mtoto wao basi niendezangu niwaachie binti yao, kitu ambacho nikigumu kwangu kwani bado nampenda sana mkewangu nazaidi nahitaji mtoto wangu apitie kwenye malezi ya wazazi wake wawili (mimi na mkewangu)
 
^^
Oo! God
Forgive
me
Hii hali na navyojijua na wengine wanavyonithamini hata wiki sikai hapo.
Am all independent and freedom lover
^^

Same here Himidini
Nothing good like freedom
free to do whatever you like
Sio nabanwa banwa na wakwe sijui kaka na dada
AAARRGG
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo utakakua na furaha ukiwa na uwezo wa kumkata makofi mkeo bila nduguze kufahamu?
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
 
Wengine hata likizo tu tunalala nyumba za wageni badala ya ukweni wewe umepewa chumba utakuwa umerogwa si bure. Baada ya kusoma ujumbe huu kafungashe uende kwako acha kututia aibu.
 
Mkuu hata wazazi wako watakua wanakushangaa japo hawakwambii..huyo Mtoto alikua wa sekondari?..usingeekubali kukaa pale mwanzoni alaf ukampa mkeo huyo madini ya kutosha akatae mkae kwao unge win kirahis tu..sasa kwa vile yameshatokeo..ondoka na mkeo kiume lakini akikuudhi usimpige makofi..
 
halafu
wewe ni kichwa katika familia yako,mean kwa mkeo na mwanao
huyo mkeo hadi kukubali kuolewa means ni mkubwa tayari
hama wewe,atakufata tu huyo mkeo
 
Back
Top Bottom