The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Mdau mmoja aliwahi kuweka bandiko la kufiwa na bado akapata like za kutosha sembuse hii!
ha!! ha!! ha!! ha!!
nimecheka sana mkuu!!
Mdau mmoja aliwahi kuweka bandiko la kufiwa na bado akapata like za kutosha sembuse hii!
Wapogolo noma, kwa mtaji huu unahitaji kutuliza akili kweli kweli la sivyo unaimaliza kabisa!
Wapenzi kukaa mbali sio shida, shida ni je anakaa na nani? Hata kama tunaonana weekend, siwezi nikamruhusu mume wangu akae na housegirl peke yao kwa muda wote huo. Angetafuta tu houseboy kwa kweli
una like hadi visivyostahili ku"like".....
Mdau mmoja aliwahi kuweka bandiko la kufiwa na bado akapata like za kutosha sembuse hii!
Bornagain. Inaonekana mume anatambua kuwa yuko ndani ya ndoa na ninaona wazi anampenda mkewe. Kosa alilofanya ni kujaribu mpango kando na kwa bahati mbaya ametekwa. Hilo ni funzo kubwa kwa wanandoa.
USHAURI WANGU
Nashauri kuwa mke aombe likizo kazini na ahamie Moro kwa mumewe kwa muda wote wa likizo; na ahilakikishe anapampana kikweli. Kama house girl aliyegeuka mke anajua kuwa jamaa ana mke huenda atapoteza ujasiri wa kumbana jamaa. Kwa kuwa mume anaonekana bado anamtambua mkewe lkn amebanwa, ninaamini hataweza kumkimbia mkewe atakapomfuata Moro na kukaa naye kwa kipindi chote cha likizo na kwa jinsi hiyo huenda wakaiokoa ndoa yao.
Ikiwa likizo ya mke itashindikana, ni afadhali mke aache kazi na amfuate mumewe kama kweli ana nia ya dhati kuipigania na kuiokoa ndoa yake. Asisubiri mumewe azae na housegirl, ndoa yao itakuwa ngumu zaidi.
ina maana kucommet umeona hatakuelewa hadi u"like" habari ya msiba unafanya kama umepokea habari ya matokeo ya necta!!!!!!!!Like ina maana namatumizi mengi. Mtu anaweza kukuletea taarifa ya msiba wa nduguyo,ukimwambia "asante bana nashukuru kwa taarifa" siyo kwamba umefurahishwa na hiyo taarifa, ina maana unaapriciate kitendo cha yeye kukuletea taarifa....kwenye mitandao tunatumia njia virtual kama emoticons, likes, thanks etc.
ha!! ha!! ha!! ha!!
nimecheka sana mkuu!!
Like ina maana namatumizi mengi. Mtu anaweza kukuletea taarifa ya msiba wa nduguyo,ukimwambia "asante bana nashukuru kwa taarifa" siyo kwamba umefurahishwa na hiyo taarifa, ina maana unaapriciate kitendo cha yeye kukuletea taarifa....kwenye mitandao tunatumia njia virtual kama emoticons, likes, thanks etc.
Imebidi nicheke tu. Watu wana utani na ndoa jamani, hivi naanzaje kumruhusu mume wangu akae na housegirl tu?? Hapo napo utamlaumu mtu kwa kukucheat au utasema shetani alimpitia? Mwe mwe mwe
Mi naona hapa shida ni moja tu USHIRIKINA na UCHAWI.
Naomba msinielewe vibaya sababu nimehukumu directly ila kwa akili za kawaida tu,haiwezekani watu ambao ni wanandoa na wakipendana sana watengane bila external forces ambazo ni hazitambuliki kwa akili za kibinadamu.
Apo cha muhimu atafute kanisa la kiroho ambalo lina nguvu ya mungu na hizo demons ambazo zimemfunga huyo mume wake zitaondoka tu.
Tunatofautiana aisee..my hubby amekaa na hg mwaka karibu wa nne huu...na wala sina pressure...kama mumeo anajiheshimu it doesn't matter anakaa na hg, hboy au peke yake...
Imagine huko mbali afu eti unatafuta house boy kukaa na familia kisa unaogopa mumeo kitombi...what about your kids...hujasikia story za wanachowafanyia watoto
I am about to go bck home for good...na mume wangu hajawahi kumpa mimba hg...and my assumption hajawahi kutembea na hg...
si kila mwanaume ni fisi kuwa hawezi kaa na mfupa karibu...
Kuna wanaume nawajua mabachela na wanakaa na ma house girl kwa heshima zote...hata kama ni uzinzi lazima ufanye zero grazing?
Huyu mwanaume hata kama si house girl angeoa muuza bar...tabia haina dawa...
Basi kula like moja kiroho safi!
Hivi mkuu juzi kati wakati Premier Pinda alivyibiwa Laptop na thread ile ikapata like za kushiba ina maana mlikuwa mnampongeza mleta uzi ama mlikuwa mnamnanga bwana mkubwa PM? Ha ha haaa....kula like!
ina maana kucommet umeona hatakuelewa hadi u"like" habari ya msiba unafanya kama umepokea habari ya matokeo ya necta!!!!!!!!
thread ipi?
Hii habari naona watu wamei like nashindwa kuelewa ni kwamba wamefurahishwa na bwana mkubwa kuibiwa ama wamefurahia habari? NduguDaudi Mchambuzi , Wile GAMBA & Mr Transporter Nitoeni shaka yangu please!
![]()
Msimamizi mwenyewe ameshaana kummezea mate shemejie hapa anaomba tu baraka za wajumbe wee unaona hatukumshauri? Wee ushauri wako ukoje!
Ok
Ss kosa alilolifanya ni baada ya kuona yale@first na kumuuliza mumewe na alipokiri akachukua hatua ya kurudi dar!
Ilitakiwa palepale amfukuze huyo HG
Na nakuhakikishia HG alijua hyo ni mme wa.mtu na.kitendo cha.mke kuondoka akamaliza kabisa yaani ushirikina unahusika asilimia kubwa sn.
Ndo maana nakwambia akienda kwa sshv atachemka vby sn
Wewe unasema aache kazi amfate mume...are you serious...aache kazi wakati ndoa yenyewe haieleweki...
Atakuta kuzaliwa...sasa hivi kazi yake ni muhimu kuliko chochote kile...
Mke anasema yeye kama yeye kurudi Morogoro kubeba fedheha hawezi kamwe,anasema yeye kurudi kwake Moro ni pale tu atakapohakikishiwa kuwa hakuna tena uhusiano kati ya mumewe na huyo house girl.Infact anataka house girl wote watoweke nyumbani kwa mumewe
Hongera kwa kuwa msimamizi,ila ushauri wangu hili sio suala la kuijulisha jamii nzima maana ni siri ya watu na wamekushirikisha wewe ili uwasaidie na sio kuitangaza huku.
Tafuta wazee wakupe ushauri,haswa wazazi wa wahusika. Wee ulikuwa shaidi tu pale kanisani,usiloliweza unaliacha na si kulifanya lako.
Kwani huku Dar huyu bibi arusi wa zamani hakuachiwa houseboy ampandishe nishani kisha asimike houseboy mwingine?