Daniel Schoter
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 114
- 64
Wakuu salama? Nina wazo la kutengeneza system mbalimbali za Electronics ambazo zitakuwa suitable Katika Mazingira yetu, Yani kuwa calibrated kutokana Na mazingira yetu, Changamoto kubwa ni Upatikanaji wa vifaa hapa Bongo Nahitaji mtu wa kunifadhili ununuzi wa vifaa ambapo ntatengeneza Protype za Io device then ntamuonesha huyo mtu na manufacturer itaanza Kwa ajili ya biashara, Sihitaji Pesa mtu anipe mkononi Nataka nimpe mtu adress yangu na anifanyie manunuzi ya ivo vifaa kupitia ebay au aliexpress.