Hata mimi natafuta RAV 4. Kwa sasa nakusanya hela. Ila iwe model sio hii ya sasa bali ya nyuma kidogo ambayo naiona inapendeza kuliko za kisasa.
Kwanini usiende showroom au japanese used cars au carjunction. Goole tu!
kaka huko majumuish ya bei yanakuwa juu sana! najua kwa 10m siwezi agiza toka japan hela kidogo hiyo
kaka huko majumuish ya bei yanakuwa juu sana! najua kwa 10m siwezi agiza toka japan hela kidogo hiyo
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni normal hakuna shida!
mmmhhh 10m, mbona nyingi sana kwa used RAV4, ww mgeni wa magari, google tradecarview, japanese used cars, nk,na kusafirisha plus import
tax wala haishi, u can get 1999 used RAV 4 with under 100,000km for $2000
Usiwe muoga mkuu! Hiyo pesa unapata gari for less.
Jaribu kuichungulia hii:
Toyota RAV4 [ tradecarview ]
Ni pm, ntakupatia gari kama unayoitaka for less na ipo hapa Dar tayari. Ina rangi ya Maroon, 5 doors, full option, ililetwa mwaka jana direct from Japan, kwa sasa ni ac haifanyi kazi matengenezo yake hayafiki laki moja. Itabidi uje na fundi unaemuamini akutazamie kila kitu. Aside ya ubovu wa ac, kila kitu kinafanya kazi vizuri. TZS 8m non negotiable. Kama uko interested ni pm.
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni normal hakuna shida!
Ndugu Dar Es Salaam, hii gari bado ipo? Tafadhali tufahamishane
Hii gari kuna mmoja wa humuhumu JF kisha inunuwa halafu hata za udalali hajanikatia duh!