Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz

Apr 11, 2023
18
9
Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo

Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
 
Mkuu hiyo agiza kutoka Japan ila kwa hiyo bei ni mara mbili na nusu.
 
Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo

Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
Hiyo hadi japan ila kwa bei hiyo utapata.
 
Nikuambie tu ukweli huwezi kupata ongeza tu hela uagize moja kwa moja
 
Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo

Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
Nikufundishe namna ya kununuwa gari used angalia namba na engine pamoja na body, na ndani matunzo yakoje hiyo inatosha nunuwa gari.

Kuna gari namba A ni nzima na nzuri kuliko namba D hili tunalijuwa wale tu tulioishi na magari kwa maisha yetu yote.
 
Watu wanaangalia namba kwasababu siku naye akitaka liuza wengi wanaonunua wataangalia namba
 
dah,hatari,ila kwa mimi nahitaji allex au runx,iwe namba C au D,iwe haijawahi pata ajali,bajeti yangu mil 6
Nakupa mwangaza tu wa bei za namba D.

TOYOTA ALLEX 13.9M #DX⚡

Year: 2005
Engine Code: 1nz Vvti
Engine Capacity: 1490
Colour: Gold
Full Ac
Full Documents
Sport Rims
Low Mileage
Very Clean Seat
Almost Gari Mpya
Exchange Allowed

Call/WhatsApp
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Watu wanaangalia namba kwasababu siku naye akitaka liuza wengi wanaonunua wataangalia namba
Well ukiangalia namba mfuko wako usome vizuri.

Ukiwa na gari unataka kubadirisha gari unavunja, unawapa watu gari yako unaongeza pesa unapewa gari nyingine mliyokubaliana.
 
Well ukiangalia namba mfuko wako usome vizuri.

Ukiwa na gari unataka kubadirisha gari unavunja, unawapa watu gari yako unaongeza pesa unapewa gari nyingine mliyokubaliana.
Hiyo ndio inakuwaga rahisi hii ya kuvunja yes inakuwa rahisi sana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nikufundishe namna ya kununuwa gari used angalia namba na engine pamoja na body, na ndani matunzo yakoje hiyo inatosha nunuwa gari.

Kuna gari namba A ni nzima na nzuri kuliko namba D hili tunalijuwa wale tu tulioishi na magari kwa maisha yetu yote.
Asante sana Mkuu, mawazo yako yanamchango mkubwa sana na uzoefu wako ni mhimu pia.

Tunahitaji mawazo na ushauri kama huu ndio maana tunaposti humu, mtu anakwambia huwezi pata kwa bei hiyo au ongeza hela uagize nje.

Ningekua na hela ya kuagiza nje ningeagiza, tujaribu kumshauri mtu kulingana na fedha aliyokua nayo na nahitaji la gari analohitaji.

Ushauri unapokelewa pia
 
Back
Top Bottom