JAMII FORUM UMEINGIA KWA KUTUMIA NINI??
mbona tunaumizana vichwa jamani
JAMII FORUM UMEINGIA KWA KUTUMIA NINI??
mbona tunaumizana vichwa jamani
Uko wapi? Kama uko Dar chukua nenda Kariakoo utapata simu ya kuanzia 5,000/=.
Ipo sumsung pocket kwa hiyo bei.
Call 0767271663 nipo sinza
Mtaani kwetu utapata hata ya 5000 kwenye promotion.
Mkuu, tembea uone! Siku hizi ukienda Kariakoo utakoma mwenyewe kwa simu zilivyokuwa nyingi bei rahisi na wenyewe wanasema ndio zinazouza sana.Kati ya maduka 20 ya simu kariakoo, utakuta maduka manne tu ndiyo hayauzi simu za kichina bei rahisi!Hivi kwa Dar simu zimekuwa bei rahisi namna hiyo?Too good to be true
Acha kukariri ww
Mbna mshamba hvyooo..!! Kwn umeambiwa jamii forum lazma uingie na sim si kuna means nyingine kama pc na nyinginezo..!!
LOOOH WATU BWANA SASA HIYO ITANUNUA SIMU labda ya kuchezea watotoame change ile 10 apate buku kwa ajili ya internet cafe'! hiyo buku kuna mtu anamdai so hadi jioni atakuwa amerejeshewa ili kukamilisha 10 ambayo ndo budget yake ya kununua smartfone.
JAMII FORUM UMEINGIA KWA KUTUMIA NINI??
mbona tunaumizana vichwa jamani
Katumia simu ya mume/mke wake
Kitu hiki hapa
Simu ukienda maduka yaliyo jirani na Round About ya Msimbazi (KKoo), au ukishuka stendi ya Mbagala kuna maduka mengi utasikia simu zinatangazwa kwa spika, simu sh 5,000/=, 7,000/=, 10,000/= etc. Zingine ni minada, mnapandishiana dau kuanzia 2,000/= kwenda juu.
Spika zenyewe ni kama zile zinazotangaza "Sumu ya panye-mende-kunguni-upele-mapunye-viroboto!"
mkuu acha acha kusema uwongo mwingi, sim kkoo dukani hupati kwa elfu5, dukani unapata kuanzia elfu15 hizo za kichina, tena simu mbaaaya kama kopo. hizo za elfu5 ni zile za kwenye minada ambayo wala hujaribishiwi ukikuta mbovu mbele ya safari imekula kwako!
Wapendwa, nimeibiwa simu yangu. Na hyo ndo salio nililonalo kwa sasa. Nahitaj cm itakayonisaidia kwa kipindi hiki.
Km unayo, naomba nicheki now.
wewe si salio lako 10,000 utatoa wapi ya kuongezea!Ni aina gn boss?
hiyo lumia ya elfu kumi so bora umpe bure akatafute hiyo betri!ipo lumia moja ila haina betri, niPM