Nahitaji sim, nina 10,000

Nahitaji sim, nina 10,000

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wapendwa, nimeibiwa simu yangu. Na hyo ndo salio nililonalo kwa sasa. Nahitaj cm itakayonisaidia kwa kipindi hiki.
Km unayo, naomba nicheki now.
 
Wapendwa, nimeibiwa simu yangu. Na hyo ndo salio nililonalo kwa sasa. Nahitaj cm itakayonisaidia kwa kipindi hiki.
Km unayo, naomba nicheki now.

Duuh, sasa maisha ni simple than ever! Naamini unaweza ukapata tu, kuwa na subira
 
Uko wapi? Kama uko Dar chukua nenda Kariakoo utapata simu ya kuanzia 5,000/=.
 
Simu ukienda maduka yaliyo jirani na Round About ya Msimbazi (KKoo), au ukishuka stendi ya Mbagala kuna maduka mengi utasikia simu zinatangazwa kwa spika, simu sh 5,000/=, 7,000/=, 10,000/= etc. Zingine ni minada, mnapandishiana dau kuanzia 2,000/= kwenda juu.

Spika zenyewe ni kama zile zinazotangaza "Sumu ya panye-mende-kunguni-upele-mapunye-viroboto!"
 
Mtaani kwetu utapata hata ya 5000 kwenye promotion.
 
Wapendwa, nimeibiwa simu yangu. Na hyo ndo salio nililonalo kwa sasa. Nahitaj cm itakayonisaidia kwa kipindi hiki.
Km unayo, naomba nicheki now.
Ipo sumsung pocket kwa hiyo bei.
Call 0767271663 nipo sinza
 
pple are taking evrything as a joke!
ata mie nilitaka kukomenti hivyohivyo sema nilivyoona profile picha yako,post na hayo maelezo nkajikuta nacheka kimoyomoyo na kukuonea huruma,,,dah pole though!
 
Back
Top Bottom