Nahitaji Samsung Galaxy S3 kwa laki 6

Are you kidding me or what? Galaxy S3 kwa laki sita? Kuna mawili...ya wizi, au fake.
heeeh kwan mpya kabisa wakati zinatoka si zilikuwa zinauzwa 545 US dollars...sa hivi s4 zimetoka hizi s3 prices zimeshuka tangia mwaka jana mwishon...sasa cha ajabu kipi???
 
Ipo hiyo hiyo unayoitaka ila ni made in China, then assembled in Kariakoo, Tanzania. Leta pesa iyo
 
heeeh kwan mpya kabisa wakati zinatoka si zilikuwa zinauzwa 545 US dollars...sa hivi s4 zimetoka hizi s3 prices zimeshuka tangia mwaka jana mwishon...sasa cha ajabu kipi???

Hahahah kwa taarifa yako hazijashuka andaa kamilioni apo imeshuka sana laki tisa unusu. Baaas.
 
nitakufanyia favour kwa laki 7 original kabisa,from uk.kuna mtu anaziuza from uk
 
Hahahah kwa taarifa yako hazijashuka andaa kamilioni apo imeshuka sana laki tisa unusu. Baaas.

acheni uwongo,,, s3 sasa ivi pale m.city ni 890,000. Haifiki million,,, sa s4 ikishaingia kwa soko vizuri, s3 itauzwa 600.000.... Kwani how was it like btn s2 na s3?????.... Yani samsung wanafanya vizuri sana kutoa vitu fasta fasta,,, hata sisi wa hali ya chini tunavipata in a short while,,,
 
Sio uwonmgo hizo ndo bei za mujini, sasa huyu anataka hiyo simu kwa laki 6 si atasubiri sana? imekuwa toyo? LOL
 
jaman halafu watanzania mnalanguliwa halafu mnafurahia hamna habari yani...hizi simu sijui i phone 5,i phone 4s,samsung galaxy s3,htc one x ni outdated phone..zote zimetoka mwaka jana...hawa watanzania wanazoziuza huku mgejua huko nje wanazichukua kwa sh.ngp...hahahaha kwel wajinga ndio waliwao...ongeleen hzo bei za mamilion simu kama sony erickson Z,blackberry 10 na hii samsung s4
 
Nikopeshe hiyo hela, mvua imenyesha huku kwetu. Nataka nikanunulie mbegu then nikivuna nitakurejeshea, ili bei iwe imeshuka.
 
mi ninayo ila sijui kama ni Orijinal. Ni samsung SIII, model GT 19300. Made in Korea. Mwenye ajuzi anipashe hii kitu original or fake maana hiyo made in Korea inanitisha.
 
I can order for you. Kama unataka ni pm nikuelekeze mahali pa kunipata.
 
duh,mahela yote hayo,kweli mazee unapiga,mbona kitu cha HUAWEI zile za tiGO zina kila kitu na bei poa tu kama 175k hv,jibaba hakuna hyo unayoitaka wewe inafanya hii cm niliyokutajia inashindwa,wabongo mnapapalika na majina sana ndo maana mnapigwa
 
acheni uwongo,,, s3 sasa ivi pale m.city ni 890,000. Haifiki million,,, sa s4 ikishaingia kwa soko vizuri, s3 itauzwa 600.000.... Kwani how was it like btn s2 na s3?????.... Yani samsung wanafanya vizuri sana kutoa vitu fasta fasta,,, hata sisi wa hali ya chini tunavipata in a short while,,,
mkuu unaonekana unvifahamu hivi,hebu niambie hizi tablet za sony xperia vipi ubora wake!
 
mi ninayo ila sijui kama ni Orijinal. Ni samsung SIII, model GT 19300. Made in Korea. Mwenye ajuzi anipashe hii kitu original or fake maana hiyo made in Korea inanitisha.

Ka ni korea hiyo ni ktu original kabisa.
 
Back
Top Bottom