Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
16,732
25,712
Salaam Wakuu,

Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.

Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.

Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?

1709435823586.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2922802

Ule wenye points 3 ndo una thamani kubwa.
 
Ushindi unakua mtamu kulingana na ubora wa mpinzani unaye mshinda.
Simba Wana haki ya kushangilia kwa nguvu zao zote kulingana na timu Yao ilivyo na aina ya mpinzani waliye mshinda.

Yanga Wana haki ya kushangilia kwakua tulisha kubaliana kabla ya hatua ya makundi kuanza, Yanga ipo katika kundi gumu na ni Ngumu kutoboa.

Kitu Cha kuwa makini ni kushinda mechizetu bila kufanya vitendo vya kishirikina hadharani kwani vinaweza kupelekea kucheza bila mashabiki au kucheza nje ya kituo chako Cha mechi.

Aibu tulizopata uko nyuma za kupigwa faini na CAF zinatosha, kwasasa linaweza kuja Rungu kubwa zaidi ikatuharibia.
 
Simba mmei underrate sana, kwamba ikishinda ujue hyo timu mbovu. Hao CRB ni wabovu sana hata Algeria waliwafunga kwasababu Diarra hakuwepo. Al ahly alivyodroo na Simba Home/Away mkasema ahly wabovu mmekutana nao ilibaki kidogo tu mpigwe nje-ndani.
Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
 
Kwani yanga si kaingia kama simba tu?
 
Wewe si ndio ulisema kuwa Simba ikishinda ulawitiwe kwa hiyari yako.......ooooh sore, upigwe ban kwa hiyari yako
 
Salaam Wakuu,

Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.

Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.

Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?

View attachment 2922802

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jwaneng wamekua wabovu Lin? Si ni wewe ndio ulisema Jwaneng akifungwa upigwe ban ama? Leo Jwaneng Kawa kama TRA Tena? Afu hayo mawazo ya kuogopa timu za kiarabu ni mawazo ya kizamani, siku hiz warabu wanagongeshwa tu, wydad mwarabu aligongwa kwake Kwa Jwaneng unayoifananisha na TRA, angalia Hata robo fainali warabu ni wachache kuliko weusi. Mpira umebadilika mazee usikariri. Leo hii Tanzania ndio nchi pekee yenye timu mbili robo fainali champions league, zamani hii ilikua inatokea Kwa timu za misri na morroco
 
Aisee!.

Simba imeingia kikanuni sawa? Yanga je?

Yanga na CR Belouzidad zote zina points sawa, 8 kila mmoja. Ila kwa sababu ya kanuni ya H2H basi Yanga wakapeta.

Unasemaje Simba kaingia kikanuni huku ukiacha kuitaja Simba?

Turudi kwenye swali lako la msingi;
Ushindi wa Simba ni wa thamani kubwa zaidi ya ule wa Yanga.

Kwanza, kwa sababu ushindi wa Simba ni mkubwa zaidi ya ushindi wa Yanga. Simba ikimbutua mtu 6 nunge na Yanga akifunga 4 bila. Simba ikiwa na ziada ya magoli mawili.

Pili, Simba imepata fedha nyingi zaidi kutoka serikalini. Ikijimegea kitita cha Million 30 huku Yanga ikiambulia 20. Simba ikiwa na ziada ya Million 10 zaidi.

Tatu, Simba iliingiza mashabiki wengi zaidi kuliko ambavyo Yanga imeingiza. Na kwa vyovyote vile mapato ya mechi, Simba yupo mbele zaidi ya Yanga.
 
Ushindi unakua mtamu kulingana na ubora wa mpinzani unaye mshinda.
Simba Wana haki ya kushangilia kwa nguvu zao zote kulingana na timu Yao ilivyo na aina ya mpinzani waliye mshinda.

Yanga Wana haki ya kushangilia kwakua tulisha kubaliana kabla ya hatua ya makundi kuanza, Yanga ipo katika kundi gumu na ni Ngumu kutoboa.

Kitu Cha kuwa makini ni kushinda mechizetu bila kufanya vitendo vya kishirikina hadharani kwani vinaweza kupelekea kucheza bila mashabiki au kucheza nje ya kituo chako Cha mechi.

Aibu tulizopata uko nyuma za kupigwa faini na CAF zinatosha, kwasasa linaweza kuja Rungu kubwa zaidi ikatuharibia.
Nye ni wajinga na wapumbavu,kila mwaka timu mnayokutana nayo lazima mseme ni timu ngumu,hii ni club bingwa kwani uliingia kinyume nyume bila kujua kuna timu ni ngumu?hivi visingizio vyenu ni vya kiwehu kila mwaka mnakuja nayo
 
Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
Mnaikweza timu yenu ni nzuri ndio lakn sio kihivo, Simba hatupo vizuri hivi karibuni lakn sio wabovu kihivo mnavyoichukulia nyie. Kwanza kwann mlidroo na Ahly kama Simba alivyodroo nae? Na tuli expect mate 3 points?
 
Simba mmei underrate sana, kwamba ikishinda ujue hyo timu mbovu. Hao CRB ni wabovu sana hata Algeria waliwafunga kwasababu Diarra hakuwepo. Al ahly alivyodroo na Simba Home/Away mkasema ahly wabovu mmekutana nao ilibaki kidogo tu mpigwe nje-ndani.
Ile timu ni bingwa mara nne pale Algeria....mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ushindi unakua mtamu kulingana na ubora wa mpinzani unaye mshinda.
Simba Wana haki ya kushangilia kwa nguvu zao zote kulingana na timu Yao ilivyo na aina ya mpinzani waliye mshinda.

Yanga Wana haki ya kushangilia kwakua tulisha kubaliana kabla ya hatua ya makundi kuanza, Yanga ipo katika kundi gumu na ni Ngumu kutoboa.

Kitu Cha kuwa makini ni kushinda mechizetu bila kufanya vitendo vya kishirikina hadharani kwani vinaweza kupelekea kucheza bila mashabiki au kucheza nje ya kituo chako Cha mechi.

Aibu tulizopata uko nyuma za kupigwa faini na CAF zinatosha, kwasasa linaweza kuja Rungu kubwa zaidi ikatuharibia.
Umeongea Fact kubwa mkuu.....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nye ni wajinga na wapumbavu,kila mwaka timu mnayokutana nayo lazima mseme ni timu ngumu,hii ni club bingwa kwani uliingia kinyume nyume bila kujua kuna timu ni ngumu?hivi visingizio vyenu ni vya kiwehu kila mwaka mnakuja nayo
mashabiki wa vyura ni wajinga kweli kweli li mtu limekazana Eti ohooo kundi letu lilikua Gumu asa ukita kuuliza Kundi Gani lilikua jepesi Saizi yameanza ohooo bora tupewe Asec yani yanapenda kujipangia vitu yanazani Ligi ya mabigwa kuna polisi Tanzania
 
Pamoja na kusema Simba mbovu ila tupo nao Robo fainali,sasa ubovu uko wapi na ubora wao ni upi hasa?kwenye kundi lao anaongoza al ahly point 12, wao wana point 8, sisi wa pili kundi letu tuna point 9, na tuna magoli mengi ya kufunga,tumeruhusu mawili tu,wao wameruhusu 6, halafu mtu anakuambia Simba mbovu
 
Back
Top Bottom