Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,116
- 2,490
2000 chics pamoja na chakula na madawa pesa ndefu mnooo!, kifaranga kimoja kwa wakala si chini ya 2000 bado chakula bado dawa, natamani sana mradi huu lakin mnh!
Sio rahisi kihivi, watu wange kimbia maofisini wakafugeBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Haya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseeeBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Wiki mbili?Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Nani kakudanganya kuku 2000 wanakula viroba 30!!!, kaka mimi nafuga uwezo wangu ni broiler 600 na hao nawatoa kutegemea na soko lilivyo muda huo, kama soko ni zuri nawatoa kuanzia siku 24/25 na hapo wanakuwa weshakula viroba mpaka 22, lakini ukivuta mpaka siku 28 wanakula mpaka viroba 24, baada ya hapo anza kuhesabu maumivu, kwa kuwa bei za mbagala na maeneo ya karibu yake kuku hafiki sh 6000/= mwisho ni 5700/ 5800, kuhusiana na madawa pia si kweli kuku 2000 watumie 50k.Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Kaka hao kuku anaosema mimi nawafuga sana tu ila si kwa hesabu zake, aliyempigia hizo hesabu kamdanganya si kweli 2000 wale viroba 30 haaah! huyu hawajui broilerHaya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseee
Kwamba Ekali moja ya tikiti maji inachukua miche 4000 kila mche utoe matunda mawili ya uhakika unapata matunda 8000 ukiuza kwa bei ya hasara ya 1000 una milion 8, ingia sasa ukalime kwanza baada ya mateso na shida zote za shambani huenda ukapata presha kulipata soko la kuuza hayo matunda yako
Ushauri: kama kilimo na ufugaji hujaufanya, ukitaka kuingia usije kichwa kichwa ingia kwa kusitua ukipata upenyo (uhakika wa uzalishaji na soko) komaa au kwa lugha nyingine niseme shika hapo hapo
Siwakatishi tamaaa ilaaaa hiiiiiiiiiiiii
kwanza tu unaonyesha ni jinsi gani mahesabu huyajui mkuu vifaranga 2000 kwa 2000 kila kimoja ni milion 4 sasa jumlisha na iyo ya chakula ulioweka halafu uone kama utapata milion 4 iyo iyoBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Sijui anatumia mbinu gani
Hawajui broiler.Yani hapo labda chakula uwe unatengeneza mwenyewe ila hii inshu ni gharama sana na return sio guaranteed
Ninafanya hii biashara miaka zaidi ya kumi na ninafuga kuku zaidi ya hao uliowataja.Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Halafu hajaweka gharama za maji, umeme, maranda, mishahara ya w/kazi,kwanza tu unaonyesha ni jinsi gani mahesabu huyajui mkuu vifaranga 2000 kwa 2000 kila kimoja ni milion 4 sasa jumlisha na iyo ya chakula ulioweka halafu uone kama utapata milion 4 iyo iyo
4M + 1.9M = 6M chukua iyo 13M toa 6M
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hapa kuna kitu naomba nijifunze kwako Funza Dume.Ninafanya hii biashara miaka zaidi ya kumi na ninafuga kuku zaidi ya hao uliowataja.
Kuku hawezi kuuzwa ndani ya wiki mbili hiyo haiwezekani abadan. Kuku 2000 wanakula viroba zaidi ya 60. Kuku kuuzwa kwa 6500 ni nadra sana wanacheza 6000 mpk 6300. Ujenzi wa mabanda yako hauingizi hewa madirisha madogo hapo magonjwa yatakusumbua. Kwa wastani kuku 1000 wanatumia madawa ya 120,000 mpk kuuzwa
Hiyo biashara ina faida sana ila sio rahisi kama ulivyoonyesha hapo. Be real
Chakula ndo gharama sana,bora angechangia kidogo..alafu faida kugawana nusu nusu...ndefu sana aisee2000 chics pamoja na chakula na madawa pesa ndefu mnooo!, kifaranga kimoja kwa wakala si chini ya 2000 bado chakula bado dawa, natamani sana mradi huu lakin mnh!
Embu acha kutudanganya eti hata kuku Wote wakiumwa haifikia 50k, trisul lita Moja 80,000, dawa ya kupuliza bandani TH4, 5000, Dawa yakuingizia colaxan/trimafarm 9000,chanjo newcastle/gumboro 5000, vitamin 12000-15000, protein C 17000, hapo uwape trisul wasipone ukimbilie kwenye madawa mengine mengi si chini ya 12000 gram mia, sasa kwa kuku tuchukulie 2000 mpaka wamalize dozi ya siku tano si chini ya gram 1200 means ni 12000×12= 144,000, nachotaka kusema ni kwamba ufugaji wa broiler madawa yanagharama sanaa unaweza ukachizika wacha kupotosha watu.Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Haya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseee