Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

Premij canoon

JF-Expert Member
May 27, 2018
1,108
2,473
Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu.

Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000.

Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia mradi, na kadri siku zinavyoenda tutakua tukiongeza hadi kufikia kuku 6000.

Mimi natoa mtaji wa mabanda pamoja na uzoefu wa ufugaji, usimamizi wa mradi, pamoja na uzoefu wa soko. PATNER atatoa mtaji wa kuku 2000, chakula pamoja na madawa.

Mradi upo Kijichi / Mbagala kuu, kando ya barabara.

FAIDA TUTAGAWANA 50% by 50%.

Kwa aliye serious karibu tushirikiane kwenye ufugaji kibiashara.

MAWASILIANO -Call : 0787480826
-Whatsap : 0763708877

KARIBUNI.

IMG_0817.jpg

IMG_0816.jpg

IMG_0810.jpg

IMG_0809.jpg

IMG_0808.jpg

IMG_0805.jpg

IMG_0804.jpg

IMG_0802.jpg

IMG_0801.jpg

IMG_0800.jpg

IMG_0794.jpg

IMG_0793.jpg

IMG_0784.jpg

IMG_0786.jpg

IMG_0789.jpg
 
2000 chics pamoja na chakula na madawa pesa ndefu mnooo!, kifaranga kimoja kwa wakala si chini ya 2000 bado chakula bado dawa, natamani sana mradi huu lakin mnh!

Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.

Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.

2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.

Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.

13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo

Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.

Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.

Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
 
Sio rahisi kihivi, watu wange kimbia maofisini wakafuge
 
Haya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseee

Kwamba Ekali moja ya tikiti maji inachukua miche 4000 kila mche utoe matunda mawili ya uhakika unapata matunda 8000 ukiuza kwa bei ya hasara ya 1000 una milion 8, ingia sasa ukalime kwanza baada ya mateso na shida zote za shambani huenda ukapata presha kulipata soko la kuuza hayo matunda yako

Ushauri: kama kilimo na ufugaji hujaufanya, ukitaka kuingia usije kichwa kichwa ingia kwa kusitua ukipata upenyo (uhakika wa uzalishaji na soko) komaa au kwa lugha nyingine niseme shika hapo hapo

Siwakatishi tamaaa ilaaaa hiiiiiiiiiiiii
 
Wiki mbili?

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Nani kakudanganya kuku 2000 wanakula viroba 30!!!, kaka mimi nafuga uwezo wangu ni broiler 600 na hao nawatoa kutegemea na soko lilivyo muda huo, kama soko ni zuri nawatoa kuanzia siku 24/25 na hapo wanakuwa weshakula viroba mpaka 22, lakini ukivuta mpaka siku 28 wanakula mpaka viroba 24, baada ya hapo anza kuhesabu maumivu, kwa kuwa bei za mbagala na maeneo ya karibu yake kuku hafiki sh 6000/= mwisho ni 5700/ 5800, kuhusiana na madawa pia si kweli kuku 2000 watumie 50k.
Aliyekupa hiyo hesabu kakupoteza.
Mimi nawafuga broiler nawajua kiasi, hao wadudu wakifika wiki ya tatu wanakula mpaka waweza changanyikiwa, kwangu wakifika muda huo lazima wadondoshe kiroba kila siku.
 
Haya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseee

Kwamba Ekali moja ya tikiti maji inachukua miche 4000 kila mche utoe matunda mawili ya uhakika unapata matunda 8000 ukiuza kwa bei ya hasara ya 1000 una milion 8, ingia sasa ukalime kwanza baada ya mateso na shida zote za shambani huenda ukapata presha kulipata soko la kuuza hayo matunda yako

Ushauri: kama kilimo na ufugaji hujaufanya, ukitaka kuingia usije kichwa kichwa ingia kwa kusitua ukipata upenyo (uhakika wa uzalishaji na soko) komaa au kwa lugha nyingine niseme shika hapo hapo

Siwakatishi tamaaa ilaaaa hiiiiiiiiiiiii
Kaka hao kuku anaosema mimi nawafuga sana tu ila si kwa hesabu zake, aliyempigia hizo hesabu kamdanganya si kweli 2000 wale viroba 30 haaah! huyu hawajui broiler
au ana mbinu mbadala mwenzetu
 
Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.

Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.

2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.

Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.

13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo

Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.

Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.

Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
kwanza tu unaonyesha ni jinsi gani mahesabu huyajui mkuu vifaranga 2000 kwa 2000 kila kimoja ni milion 4 sasa jumlisha na iyo ya chakula ulioweka halafu uone kama utapata milion 4 iyo iyo

4M + 1.9M = 6M chukua iyo 13M toa 6M

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.

Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.

2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.

Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.

13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo

Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.

Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.

Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Ninafanya hii biashara miaka zaidi ya kumi na ninafuga kuku zaidi ya hao uliowataja.

Kuku hawezi kuuzwa ndani ya wiki mbili hiyo haiwezekani abadan. Kuku 2000 wanakula viroba zaidi ya 60. Kuku kuuzwa kwa 6500 ni nadra sana wanacheza 6000 mpk 6300. Ujenzi wa mabanda yako hauingizi hewa madirisha madogo hapo magonjwa yatakusumbua. Kwa wastani kuku 1000 wanatumia madawa ya 120,000 mpk kuuzwa

Hiyo biashara ina faida sana ila sio rahisi kama ulivyoonyesha hapo. Be real
 
Hapa kuna kitu naomba nijifunze kwako Funza Dume.
 
Mkuu niskilize,kwanza hapo kwenye chakula mifuko nadhani kwenye 70 idadi,kwenye madawa uko sahihi mimi situmii madawa kabisa.

Na chakula bora ufate kiwandani gharama itapungua,sokoni kuuza kwa hiyo bei labda uuze rejareja

na ukifanya hivyo jamaa watazidi Kula so gharama ya chakula kuongezeka.

Hao kuku ni week ya nne ndo wanauzika mzee,piga hesabu zako vizuri,bado hujaweka sijui maji,mkaa,maranda,umeme.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.

Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.

2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.

Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.

13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo

Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.

Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.

Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Embu acha kutudanganya eti hata kuku Wote wakiumwa haifikia 50k, trisul lita Moja 80,000, dawa ya kupuliza bandani TH4, 5000, Dawa yakuingizia colaxan/trimafarm 9000,chanjo newcastle/gumboro 5000, vitamin 12000-15000, protein C 17000, hapo uwape trisul wasipone ukimbilie kwenye madawa mengine mengi si chini ya 12000 gram mia, sasa kwa kuku tuchukulie 2000 mpaka wamalize dozi ya siku tano si chini ya gram 1200 means ni 12000×12= 144,000, nachotaka kusema ni kwamba ufugaji wa broiler madawa yanagharama sanaa unaweza ukachizika wacha kupotosha watu.

PERIOD.
 
Haya mahesabu ya kwenye makaratasi kuhusu kilimo na ufugaji sijawahi kuyaelewa aiseee

Kwamba Ekali moja ya tikiti maji inachukua miche 4000 kila mche utoe matunda mawili ya uhakika unapata matunda 8000 ukiuza kwa bei ya hasara ya 1000 una milion 8, ingia sasa ukalime kwanza baada ya mateso na shida zote za shambani huenda ukapata presha kulipata soko la kuuza hayo matunda yako

Ushauri: kama kilimo na ufugaji hujaufanya, ukitaka kuingia usije kichwa kichwa ingia kwa kusitua ukipata upenyo (uhakika wa uzalishaji na soko) komaa au kwa lugha nyingine niseme shika hapo hapo

Siwakatishi tamaaa ilaaaa hiiiiiiiiiiiii
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom