NAHITAJI NGURUWE WA NYAMA KWA WINGI

NAHITAJI NGURUWE WA NYAMA KWA WINGI

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,271
Reaction score
1,187
Wakuu habari za wakati huu....!

Nafanya biashara ya kuchinja na kuuza nyama ya nguruwe. Hivi karibuni Mungu kabariki nimefanikiwa Kufungua machinjio yangu iliyo rasmi, na vibali vyote toka kwenye mamlaka ya serikali.

Machinjio bado mpya hivyo sina supplier wa nguruwe wa uhakika.

Kama kuna wafugaji na wafanyabiashara wa nguruwe wanaoweza kufanya biashara na sisi mnakaribishwa....! Tunahitaji nguruwe zaidi ya 200 kwa mwezi
Machinjio iko dar es salaam. Maeneo ya kitunda Nyantira

Mawasiliano 0654397566
 
Nashauri ili biashara iwe endelevu na uhakika wa kupata hao nguruwe, kuwa na plan ya kuanzisha mradi wa kuwafuga at large scale kama backup pale unapokosa mzigo wa kutosha unazama zizini kwako.

Tufanye mawasiliano eneo kubwa la kufugia lenye uhakika wa maji na kulima baadhi ya mazao wapendayo nguruwe kama chakula cha ziada lipo la kutosha kufuga hata nguruwe 5000+
 
Kuna kijiji nilikuwepo huku lindi nachingwea looh nguruwe zinaachiwa kama mbuzi zinaenda jitaftia chakula
Sema ni mbali sana na dar
Hao jamaa ni wanakula kinomanoma na wanazaa balaa usingae nguruwe moja jike lenye mimba bonge la nguruwe likaangusha vitoto 15 mpaka 20, nakumbuka somewhere alizaa watoto kibao tukawa tunawaasi vitoto vidume yaan daktari wa mifugo alikuja akawa anawaasi kwa kuwapasua korodani zao kuanzia hapo wanakua empty na ndio wanakua haraka kwa ajili ya msosi biashara nzuri sana Mbeya

Halafu inabidi uwe karibu akiwa anazaa yaani usicheze mbali na chakula awe nacho cha kutosha bila hivyo anafanya jambo la kukushangaza maana anakua na njaa kishenzi kwa hio anaweza akazaa huku anawatafuna mtoto mmoja mmoja utakuja kushtukia ukakuta watoto wote kashawatafuna na huyo ndio nguruwe

Wengine akizaa na kuwanyonyesha watoto kidogo tu wanawatenganisha na mama yao maana hachelewi kuwafanya km kitoweo anawatafuna vizuri tu
 
Kuna kijiji nilikuwepo huku lindi nachingwea looh nguruwe zinaachiwa kama mbuzi zinaenda jitaftia chakula
Sema ni mbali sana na dar
Nipe location mkuu, lindi wala si mbali. Maana muda mwingine huwa tunawatoa mwanza
 
Nashauri ili biashara iwe endelevu na uhakika wa kupata hao nguruwe, kuwa na plan ya kuanzisha mradi wa kuwafuga at large scale kama backup pale unapokosa mzigo wa kutosha unazama zizini kwako.

Tufanye mawasiliano eneo kubwa la kufugia lenye uhakika wa maji na kulima baadhi ya mazao wapendayo nguruwe kama chakula cha ziada lipo la kutosha kufuga hata nguruwe 5000+
Eneo liko wapi kiongozi
 
Back
Top Bottom