NAHITAJI NGURUWE WA NYAMA KWA WINGI

NAHITAJI NGURUWE WA NYAMA KWA WINGI

Nipe location mkuu, lindi wala si mbali. Maana muda mwingine huwa tunawatoa mwanza
Hao wanaokula kwa kuokota vichakani na majalalani usiwachukue mkuu, hawafai wanakua wamejaa minyoo na wamedumaa kinoma. Hata nyama yao inakua mbaya sana. Chinja nguruwe ambao wamekua properly raised kama unataka machinjio yako ifanye vizuri na isifike kwa nyama nzuri.
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom