Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Na umetangaza kabisa ndoa mwezi ujao wakati mtu wa kuolewa ndio kwanza unamtafuta aisee..
Mnatafuta wenza kama vile mnatafuta mashamba ya kulima..
 
leo dada umeusoma huu uzi?

Mleta mada ana umri wa miaka 39 anatafuta mchumba ila hana hela,
Una neno lolote kwa mleta mada?
Hana uhalisia analeta vichekesho ambavyo havipo
leo dada umeusoma huu uzi?

Mleta mada ana umri wa miaka 39 anatafuta mchumba ila hana hela,
Una neno lolote kwa mleta mada?
Sijasoma.

Kiuhalisia analete vichekesho na mzaha ambao haupo.
Kibongo bongo first date anagharamika mwanaume sasa yeye hana atamvutia nani??? hapo ni wazi hakuna maskini wala tajiri atakayesogea!!.
Umaskini wenyewe tu ni laana hata biblia imesema hivyo nani ataukimbilia jamani jamani!!???

Halafu mi naudhika sana brittanica alishatoa uzi wa muongozo jinsi ya kutafuta mwenza lakini naona wengi wanaleta mzaha.
 
Jambo zuri ni kwamba mimi sio masikini. Ninajimudu lakini sipo ninapotarajia kuwa. Hata nikioa leo, mke wangu Hawezi lia njaa au kuomba msaada kwa jirani. Sio kapuku mimi hata kwa manati. Wala Siwezi shindwa kuwa na gharama za first date.!
 
Jambo zuri ni kwamba mimi sio masikini. Ninajimudu lakini sipo ninapotarajia kuwa. Hata nikioa leo, mke wangu Hawezi lia njaa au kuomba msaada kwa jirani. Sio kapuku mimi hata kwa manati. Wala Siwezi shindwa kuwa na gharama za first date.!
Mi hayo maelezo sijakuomba wala siyahitaji. nimeweka wazi uhalisia uliopo.
Baada ya hapo mke utamfanyaje?
 
Bastola unayo?
 
Leo mimi mbeba box,mleta mada kasema yupo Moro,
Hii ni mara yangu ya kwanza toka nijiunge JF kupata tuhuma ya aina hii.
Sasa jamaa ananijibu kwa hasira kama vile nilimwambia Mungu wake amuumbe mwanaume.

Sasa wewe mbeba box huitaji mchumba??? nina mdogo wangu hana mtoto hana bikra ila lakini anapenda pesa ila ana ka uafadhali kidogo ukimnyoosha ananyooka sio kama mimi vipi nikuunge???
 
Ngoja nikupigie simu ili tuongee vizuri,
Ila wasione Joanah na binti kiziwi
 
Dah 39 na unahitaji 25 mpaka 33 bora 33 mpaka 35 , maana 25 humpati mtu wa 25 ukaweza kumudu kwa mechi lazima unywe viagra plus ndio umuweze mana yeye ni fire .
Sijui lakini
Humu wanapeana moyo tu mwanaume kuanzia hiyo miaka kiuhalisia ni mzee tayari!! hapa aseme anatafuta binti anayeweza kuvumilia heka heka za mwanzo wa uzee bila hela.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…